Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015


Tunasubiri mtv base kimataifa zaidi.
 
Haya matimu haya, yani watu wanachagua hata mavi
 
G Wara wara The Kankaraaaaa.
Hawa watu Weusi wanaweza sana
 
Hiki kivazi Vanesa anajishushia heshima kama hajui
 
G.nako ndio anajua kuimba hapo kuliko wote..
 
Nimependa huu wimbo wa kina Weusi na V Money. Ni Mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…