Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
leyla rashd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyokolost nipisheeeeeeeeee nikampe mtu haki yakeeeee
Nyooooooooooo zenuuuuu
Mtangoja sana.
Mark my words akipata nakunya zenj mpaka mbeya kyela....
Bora Belle,huyo Bella je?
"Nlikuwepo":bolt:
watu wamepiga kura kwa kukomoa ila kizuri cha jiuza kibaya chajitangaza kama mlivo mtangaza kila page ushuz zenu mmebana home kwa fitna za ushabiki ushuz mola ka mfungulia nje kila la heri dangote mapimbi endelezeni visasi vya kura za kukomoa kwa kukumbatia miziki mibovu kisa ushabiki mandazi na team ushuzi zenu ukweli utajulikana nani atatoboa kimataifa.
Nyokolost nipisheeeeeeeeee nikampe mtu haki yakeeeee
Nyooooooooooo zenuuuuu
Mtangoja sana.
Mark my words akipata nakunya zenj mpaka mbeya kyela....
Tujadili hili la Fid q kesho.
Nimehuzunishwa sana,nitachukua maamuzi magumu
kupiga kura diamond platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
MAMA 2015
bonyeza bonyeza vote usichoke
******************
kwenye swala la kutawala jukwaa Diamond hana mpinzani hapo mkuu, bora wangemnyima category nyingine zooote lakini sio hapo
Tuzo zimekosa mshiko.
kwenda huko we si ndugu yangu tena
Home sweet home, haya unasemaje? Naona umejikaza sana jombaaa.
Nampongeza kiba kwa kubeba tuzo 5!But anatakiwa audhihirishie umma kwamba hizo tuzo alistahili kwa kutoa nyimbo nzuri zaidi na video!Ila watz ukwel ndo wanaujua!!Poleeee sana mkuu kubali tu yaisheee.
Tujadili hili la Fid q kesho.
Nimehuzunishwa sana,nitachukua maamuzi magumu
Christian Bella Barnaba wameonewa.
Teh tehteh mwaka Jana mlichekelea eeeeeh.
Ukwaju unakusu mkuuu.
Pole sana.
My fellow Kiba Fans usiku mwema guys, wale wa mapovu uwanja ni wao sasa.
Sisi tumeshamaliza yetu kama kawaida.
See ya morrows.....