Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

My fellow Kiba Fans usiku mwema guys, wale wa mapovu uwanja ni wao sasa.
Sisi tumeshamaliza yetu kama kawaida.
See ya morrows.....
 
watu wamepiga kura kwa kukomoa ila kizuri cha jiuza kibaya chajitangaza kama mlivo mtangaza kila page ushuz zenu mmebana home kwa fitna za ushabiki ushuz mola ka mfungulia nje kila la heri dangote mapimbi endelezeni visasi vya kura za kukomoa kwa kukumbatia miziki mibovu kisa ushabiki mandazi na team ushuzi zenu ukweli utajulikana nani atatoboa kimataifa.

hili povu la sabuni gani ?
 
Nyokolost nipisheeeeeeeeee nikampe mtu haki yakeeeee
Nyooooooooooo zenuuuuu
Mtangoja sana.
Mark my words akipata nakunya zenj mpaka mbeya kyela....

ha ha ha we ukinya mi ntazoa wala usiwe na hofu.

hongereni kwa kuchua tuzo.
 
Jaman team domo mnalalamika nini wakati bos wenu alileta nyodo tangu mwanzo kwenye mchakato wa kuomba kura.
 
kwenye swala la kutawala jukwaa Diamond hana mpinzani hapo mkuu, bora wangemnyima category nyingine zooote lakini sio hapo

Labda wewe ndo umeona hana mpinzani kwa wengine ni kawaida sana tu.
 
Home sweet home, haya unasemaje? Naona umejikaza sana jombaaa.

Mi nacheka tu na hizi cinema zenu.. Haya sasa tunamsubiri role model wa watu awatangazie rasmi kule Instagram mumpigie kura Davido au Wizkid
 
Tujadili hili la Fid q kesho.

Nimehuzunishwa sana,nitachukua maamuzi magumu


mkuu inabidi ukubali.
Fid alitoa wimbo mmoja Joh alikuwa na nyimbo nyingi sana ambazo ziliwafikia watu wengi. Pia alikuwa na show zakutosha

Christian Bella Barnaba wameonewa.


hapo kweli wameonewa ila ni wapiga kura wenyewe waliendekeza bifu zaidi

Teh tehteh mwaka Jana mlichekelea eeeeeh.
Ukwaju unakusu mkuuu.
Pole sana.

haaah kweli wewe umefurahia sana leo hii hakika unatamani iwe kila mwaka


My fellow Kiba Fans usiku mwema guys, wale wa mapovu uwanja ni wao sasa.
Sisi tumeshamaliza yetu kama kawaida.
See ya morrows.....

Usiku mwema na hongera wewe na timu zako. Sisi ngoja tukalale kwa machungu
 
Back
Top Bottom