Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

hahaha this is too much, Alikiba mtumbuizaji bora over Diamond?

Ni kwa nini inakuwa over Diamond kila wakati?..Kwa nini haumtaji Christian Bella?...Kwa nini usimtaje Mzee Yusuf?...Kwa nini usimtaje Nyoshi El-Sadat?...Hawa wote walikuwa wanagombea tuzo ya mtumbuizaji bora...

Ama utumbuizaji ni kwenye Bongo Flavor tu?...

Nadhani badala ya kulalama ni kujiuliza vigezo vilivyotumika kupata washindi...Ili mtu ashinde KTMA anapaswa ba kura nyingi....Na kura zinapigwa na watanzania na kuratibiwa na hao Auditax.....

Mwaka jana Diamond alishinda bado malalamiko yalikuwepo mkuu...
 
watu wamepiga kura kwa kukomoa ila kizuri cha jiuza kibaya chajitangaza kama mlivo mtangaza kila page ushuz zenu mmebana home kwa fitna za ushabiki ushuz mola ka mfungulia nje kila la heri dangote mapimbi endelezeni visasi vya kura za kukomoa kwa kukumbatia miziki mibovu kisa ushabiki mandazi na team ushuzi zenu ukweli utajulikana nani atatoboa kimataifa.
 
Duuuuuh.... Bora imekamilika ikiniacha na amani na furaha tele...... Mmmmmmmmh........Weuuuusiiiiiiiiiiii,Aliiiiiiiiiiiiiiiiiiii,vanesaaaaaaaaaa.... Nukta.
 
watu wamepiga kura kwa kukomoa ila kizuri cha jiuza kibaya chajitangaza kama mlivo mtangaza kila page ushuz zenu mmebana home kwa fitna za ushabiki ushuz mola ka mfungulia nje kila la heri dangote mapimbi endelezeni visasi vya kura za kukomoa kwa kukumbatia miziki mibovu kisa ushabiki mandazi na team ushuzi zenu ukweli utajulikana nani atatoboa kimataifa.

Teh tehteh mwaka Jana mlichekelea eeeeeh.
Ukwaju unakusu mkuuu.
Pole sana.
 
watu wamepiga kura kwa kukomoa ila kizuri cha jiuza kibaya chajitangaza kama mlivo mtangaza kila page ushuz zenu mmebana home kwa fitna za ushabiki ushuz mola ka mfungulia nje kila la heri dangote mapimbi endelezeni visasi vya kura za kukomoa kwa kukumbatia miziki mibovu kisa ushabiki mandazi na team ushuzi zenu ukweli utajulikana nani atatoboa kimataifa.

Wewe tulia wewe
 
Ni kwa nini inakuwa ovee Diamond kila wakati?..Kwa nini haumtaji Christian Bella?...Kwa nini usimtaje Mzee Yusuf?...Kwa nini usimtaje Nyoshi El-Sadat?...

Ama utumbuizaji ni kwenye Bongo Flavor tu?...

Nadhani badala ya kulalama ni kujiuliza vigezo vilivyotumika kupata washindi...Ili mtu ashinde KTMA anapaswa ba kura nyingi....Na kura zinapigwa na watanzania na kuratibiwa na hao Auditax.....

Mwaka jana Diamond alishinda bado malalamiko yalikuwepo mkuu...

kwenye swala la kutawala jukwaa Diamond hana mpinzani hapo mkuu, bora wangemnyima category nyingine zooote lakini sio hapo
 
Tusilalamike bila kupiga kura..
Kuna timu ilijipanga kuonyesha inataka kitu lakini kuna watu hawampendi diamond kwa kuwa tu amefanikiwa...
Wengi wao ni wachawi hao.
Big up kiba,Mzee Yusuph,Diamond na wengine.
Pole Jide,Belle na Bella.
Support muziki mzuri,Tanzania tufike mbali.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom