Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Ila Tz acha nchi za jirani watudharau. Yyyesss we deserve it. Professor Muhongo na utendaji wake mzuri ulioleta mabadiliko wizara ya nishati. Wabongo wakakomaaa atolewe, akatolewa .Umeme vimigao uchwara kibao, kumbe ndo tunavotaka.

Kanumba alikuwa ICON wa movie na ndo alifanya zionekane zina thamani, lakini wakaanza kumletea usnitch. Mungu akamchukua kabla hayajamkuta kama ya DIAMOND.

Sasa DIAMOND kazi ishaanza... Ila acha wanasiasa watutafune mpaka tone la mwisho.. We really deserve. Baadhi ya Watanzania ni vilaza (sio wote).
 
Jamani tupunguze mihemuko na personal emotion zetu na tuangalie vigezo na masharti

Inaonekana vigezo pekee vilivyo tumika ni kura na si vinginevyo
Kwa manti hiyo Alikiba anaweza kabis kushinda hizo tuzo dhidi ya wenzako

Upigaji kura hauangalii unajua muziki kiasi gani wala unakubalika kiasi gani
Upigaji kura unaangalia umepata kura ngapi period
Na majority takes it all

Hongera Ali Kiba
 
Watz hatupendan hata kidgo.....unakumbuka marehem kanumba alishawahi kupondwa bila 7bu wakat ndo aliyekua anatuwakilisha kimataifa.

Hii tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa na kutaka ashuke cjui watz wanaitoaga wap....ni wivu au kitu gan.

Hiv katika suala la tuzo unapiga kura kwa ajil ya ushabik au timu flan kwel

Asa hawa ndio kiba kapata, na diamond kakosa, then mnafaidika nin?

Nakuhakikishia mkuu kwa hali hii hatuji kupata wasanii wa kimataifa hata watano.
 
Hivi msanii wa bongoflava anakuwaje mtumbuizaji bora wakati show zao zote wanatumia playback hapa kwangu mnawapotosha Ali kiba na diamond kwamba ni watumbuizaji bora bora kina bela au nyoshi
 

Sasa unajichanganya mwenyewe.ohhh wanaija wanasapotiana mbona tukimsapoti kiba unapiga kelele??? Christian bella ni mwanamuziki mkali kuliko huyo mondi na anajua kutawala jukwaa lakini mashabiki wamemchagua kiba, ye mondi nani mpaka iwe lazima kupewa??? Tunamvunjaje moyo mbona mwaka jana alizoa nyingi tu na mlikuwa hamlalamiki wasanii.wakali wengine kukosa? Acheni chuki zenu, sitaki nataka, ye mondi aende nje atapigiwa kura huko ambako hatalambisha mashabiki wake ndimu,sisi kwetu ndimu chungu bana.
 

lala tu ndo ishakua hata ukilia haitasaidia cha kufanya kunywa tu maji ulale
 
mzurimie

Kwa mtindo huu wa kushabikia timu falni na flani si ajabu hata huyo dogo ndio iwe tuzo yake ya kwanza na ya mwisho.. Kumpa tuzo msanii kuna mmotivate kuongeza juhudi zaidi na kutoa kazi nzuri kwa fans wake. Lakini haya mambo ya timu mimi siwaonei huruma akina Ali Kiba au Diamond bali hawa wadogo wanaochipukia..

Watanzania ukishawapandikizia kitu kichwani mpaka waje kubadilika inahitaji nguvu ya kipekee.. Si ajabu mwakani yakatokea haya haya kama ya mwaka huu au mwaka jana na ambao walideserve kupata baadhi ya hizo tuzo kukatishwa tamaa. Tusiongelee mwaka huu tu, hata mwaka jana kuna baadhi ya tuzo Diamond hakustahili pia.

Kuhusu kura, niseme ukweli tu wala sitapiga na sijawahi kupigaga kura kwenye hivi vitu.. Sababu moja kubwa ni kwamba hakuna reality. Watu kumi wakipiga kura kumi kila mmoja na mmoja akipiga kura 101, yule mmoja tayari anakuwa mshindi. Hicho ndicho kinanifanya nisishiriki kwenye haya mambo ya kupiga kura. Kwahiyo hata huyo Diamond huko MTV sitapiga.. Ninachomkubali Diamond ni mchapakazi na ana juhudi za kipekee..

 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa diamond mavi yanagonga chupi prrrrr
 

Naona mavi yakugonga kwenye bikini
 
Vua bikini kwanza utoe dukuduku lako
 
Hivi msanii wa bongoflava anakuwaje mtumbuizaji bora wakati show zao zote wanatumia playback hapa kwangu mnawapotosha Ali kiba na diamond kwamba ni watumbuizaji bora bora kina bela au nyoshi

Hapo kwa Bella mi ndo nimevurugwa.
 

Umekurupuka asee, nasema wanaija I mean wanamziki, halafu kwann ww umchukie diamond na ufurahie akikosa tuzo, unafaidika na nini ??

halafu nnavojua diamond yupo kwa category ya best male in Africa wapo wasanii watano tu and he is among of them, unahis ni kwann amewekwa pale ??
 
Hongereni washindi

Pole sana Christian bella siamini kama wimbo wako wa nani kama mama umetoka kapa kabisa aisee SIAMINI...
 

Well spoken jamaa kama hakubali ana mtindio wa ubongo
 
Msolopagaz Acha matusi wewe...

Yaani Diamond kushindwa ndio uwaite watanzania vilaza??? Diamond ameshindwa kwa sababu kura hazikutosha...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…