Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Ila Tz acha nchi za jirani watudharau. Yyyesss we deserve it. Professor Muhongo na utendaji wake mzuri ulioleta mabadiliko wizara ya nishati. Wabongo wakakomaaa atolewe, akatolewa .Umeme vimigao uchwara kibao, kumbe ndo tunavotaka.
Kanumba alikuwa ICON wa movie na ndo alifanya zionekane zina thamani, lakini wakaanza kumletea usnitch. Mungu akamchukua kabla hayajamkuta kama ya DIAMOND.
Sasa DIAMOND kazi ishaanza... Ila acha wanasiasa watutafune mpaka tone la mwisho.. We really deserve. Baadhi ya Watanzania ni vilaza (sio wote).