Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015


Watu gani nyie msioridhika??? Mwaka jana si tuliwapa? Kwani mondi ni msanii pekee tanzania? Kufanya makolabo na wanigeria si kigezo cha kupata kura nyingi, na kuwa msanii wa kimataifa haimaanishi lazima unyakue tuzo nyingi nyumbani. Watu tumepiga kura sababu mwana imetukosha so mutuwacheeee.
 
Mimi narudia tena...hii nchi...alhamdullilah.Kumbe inatufaa tukiwa na wanasiasa MAFISADI....wachukue kila kitu kwani kwa dalili hizi hamna chakusaidiana sisi kama wananchi.
 
Kwamba Diamond anatawala jukwaa kuliko Nyoshi El - Saadat ama Christian Bella!!....Nooo....Noti raiti

Kama sio mahaba maandazi, then you must be joking aisee...

Ila broda rememba diamond anabinua ta...ko stejini
 
Tuzo zimeamuliwa kwa idadi ya kura kwahio tusihoji kwanini nani kapewa halafu nani hajapewa..jibu ni very simple kura ndio zmeamua hivyo.
 
Acha matusi wewe...

Yaani Diamond kushindwa ndio uwaite watanzania vilaza???

Diamond ameshindwa kwa sababu kura hazikutosha...
Watanzania wengi wana MTINDIO WA UBONGO(WIVU,MAJUNGU,UVIVU,VISASI,UMBEA n.k...).
 
Hahaaaas....nini at least juhudi zangu za kupiga kura zimejibu
 

Akili ako haitoshi kujibishana na akili yangu, una akil ndogo sana mkuu, sorry for that.
 
Tuzo zimeamuliwa kwa idadi ya kura kwahio tusihoji kwanini nani kapewa halafu nani hajapewa..jibu ni very simple kura ndio zmeamua hivyo.

Sasa leanini msinunue au mmeishiwa chief!
 

Na wewe kwa nini unamchukia kiba?? Ina maana huzisikii nyimbo zake au?? Mbona hamkulalamika walivyokuwa kwenye category moja? Mlifikiri wasanii waliokuwa kwenye hiyo category wamesindikiza?? Swali linarudi kwako unafikiri kwa nini diamond aliwekwa kwen category moja na kiba??
 
Kwaminajili yakibiashara hizo tuzo hazimsaidii chochote kiba coz ni bongo lala.Hii ndo la kile kipindi KANUMBA akijiita KANUMBA THE GREAT,REY nae anajiita REY THE GREATEST kikubwa tu ajifanye yuko juu kumbe anasafiria nyota ya mwenzie.Sasa yako wapi.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…