Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Huyu dada wa clouds anayetangaza ni kama anapuliza moto
Naona ITV wametuwekea zilipendwa
Naona ITV wametuwekea zilipendwa
Hamna livestream
Huyu Ben Paul atakua anakula ngada kweli aisee...
clouds wamekata saut kote. itv nao cjui wanafnya nin nmekaa kuwasubir awaelewek
Dah wanazingua kinoma. Sasa kwenye dstv clouds haipo ITV wasipoonesha cjui tutaonea wapi.
Hawajaweka kile kipindi chao cha hawavumi lakini wamo kwelii😎
Hata mimi nakuchora tu, ole wako upotee....