Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

nataka kuona JD bint machozi,akichukua tuzo,clouds watamuonyesha au watakula Limao
 
Humjui huyo mkuu? Hiyo ni nazi yetu kwenye jukwaa hili...lol

nifah ..Babu yako Lemutuz kachaguliwa kuwa mwwnyekiti wa kamati ya mazishi kwenye msiba wa baba yake Steve nyerere...hii ni breaking news..
 
Last edited by a moderator:
Hawajaweka kile kipindi chao cha hawavumi lakini wamo kwelii😎

Hahahahaaa, yaani katika vipindi vya kipumbavu kile ni namba moja.
Sijui mkurugenzi wa vipindi wa ITV anaruhusu vipi kipindi kibovu kama kile.
Yule mtangazaji sasa.....
 
nifah ..Babu yako Lemutuz kachaguliwa kuwa mwwnyekiti wa kamati ya mazishi kwenye msiba wa baba yake Steve nyerere...hii ni breaking news..

Nilitaka kucheka lakini nilivyojua ni habari ya msiba basi tu nikaacha.
Tutakoma na hayo matamkoz kila sekunde!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiki kitu kinatoa tafsiri gani kwa jamii yetu, kwa baadhi ya vijana wa kiume?

Tunashida mahali flani nafikiri kuiga kumepitiliza,vinginevyo nielimishwe labda mimi natazama tofauti.
Wasalaaam
 
Hahaaaaa mdada gani huyo. Mwaka Jana alikuepo mdada wa clouds sauti ilikua nzito hafu inakwaruza flani hvi.

Hahahahaaa, ni Lady Haha huyo yule wa kipindi cha weekend sijui nini kwenye clouds tv.
 
Back
Top Bottom