Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nimependa Zembwela kuwa MC wa leo...ila Fetty naona hata hamove hata kidogo kasimama sehemu moja!
 
Alisema mawasiliano yake yanasimamiwa na Manager wake.
Hivyo unaongea na manager kua unataka nini....mtakoma wakware maana naona macho yameshaanza kuwatoka.

Kwani manager ndio hatotoa namba?? Teh teh teh wacha kuniangusha wewe
 
Wakuu hili umbo la fetty mmmmmmmh,hana hips hata ya kusingiziwa wanawake wapo wa aina nyingi kweli.
 
Na nyie mlichakachua kili za mwaka jana mwaka huu kila mtu atachukua chake aisee, na channel o mlimuibia davido ila nyie.mmetuzidi kwa wizi


* Haahaaa leo sisi ndio tunaonekana wezi...wakati tuzo zenu zimebishaniwa na watu wa makundi mengi.

* Kwahiyo mnataka kuchakachua na leo....
 
Leo kaonekana tofauti kabisa! Yes dogo anaimba naamini leo hawezi kukosa tuzo...

Hapana hayupo kwenye nominations. wasanii walio kwenye nominations hizo nyimbo zao ni za mwaka jana. Ruby wimbo wake na yule si ameuotoa mwaka huu, so mwakani Naamini atakuwepo kwenye nominations.
 
Back
Top Bottom