Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenichosha na usingizi ushakuja sasa
Huyo dada anaitwa Ruby anaimba mnoooo
Huyu Zembwela sijamkubali kuwa MC hapa!
Huyu Zembwela sijamkubali kuwa MC hapa!
Alisema mawasiliano yake yanasimamiwa na Manager wake.
Hivyo unaongea na manager kua unataka nini....mtakoma wakware maana naona macho yameshaanza kuwatoka.
Mbona sauti inazingua?halafu inastack stack tu?au ni MB zangu chache labda
Na nyie mlichakachua kili za mwaka jana mwaka huu kila mtu atachukua chake aisee, na channel o mlimuibia davido ila nyie.mmetuzidi kwa wizi
Huyu Zembwela sijamkubali kuwa MC hapa!
Nenda kaupumzishe mwili kama umechoka kwani hayo maigizo si muhimu kama afya
Mkuu hata mie simjui hata hawa washikaji wanaodansi jukwaani sijui ni kundi gani..
Leo kaonekana tofauti kabisa! Yes dogo anaimba naamini leo hawezi kukosa tuzo...
Hahah labda unitaftie ww Steph Curry mzee wa 3point hatari sana.