Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Tunzo ya mtunzi bora ni bongofleva...
Ni barnaba hizi timu zina haribu muziki!
 
Natumaini washindi watatuonyesha ni washindi kwa kikazi pia.

Sio tuzo kukaa kujaa vumbi na kukopa wanakopa, kufanganya wanasafiri first class kwa kuomba wapige picha, kujidai wakati wanajijua hawana kitu.

Tunasubiria kuona kazi zao wakionyesha wamestahili wanayotozwa.

Mwisho wa siku sio tuzo ni maisha na kazi na PESA unaingiza.

Mwanamke huna jema weye loh kila kitu kibaya tu kwako. Loh let encourage our artists.
 
Mi naumia Christian Bella kukosa tuzo nimeudhika hapaaaa
 
Back
Top Bottom