Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Masikini namuonea huruma sana Bella.Maana kuwa category moja na Kiba ni janga!
Pole zake.
 
Christian anaimba kwa masikitiko kishenzi..

Jamaa wamemnyima tuzo wakati wimbo ulikuwa katika standard kubwa sana..

Well, 'ni matatizo ya dunia'....:becky::becky:
 
Hyu mbwa xtian bella anajua sana kuimba,baada ya barnaba anafata yeye hzo timu zenu tupa kule.!!
 
Waimbaji wanatoswa wanapewa matahira.. Kiba na Diamond hawakustahili hata kuingia kwenye hiyo category

Hahahahaaa, wewe endelea kulia lia tu, mwenzio nagonga glass ya 6 ya juice.
Vipi wewe una malimao mangapi uliyokwisha kuyala?
 
Upumbavu mtupu.. Kura zinapigwa kishabiki mno.

Bella kanyimwa na Barnaba nae kanyimwa live live

Mziki wa Tanzania kufika mbali labda mtu mmoja mmoja ila kama nch ni ngumu sana.
Diamond keshaona anaonewa na alijua kitachotokea leo.
Kiba na timu yake watafurahi ila hawatafika mbali.
Barnaba anajua tunga nyimbo, Bella pia ila ndo ushabiki. Yaani watanzania wameingiza siasa hadi huku
 
Mwanamke huna jema weye loh kila kitu kibaya tu kwako. Loh let encourage our artists.

Huo ndio ukweli hata kama ningekuwa naandika juu ya wa nchi zingine

hakuna ubishi kwa jilo

wewe ndio hauna jema kwa kutaka nibadili maneno yangu, ukweli unauma
 
Back
Top Bottom