Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Huu ni unafiki wa dhahiri, tokea mwanzo unaonekana ni team Domo.
Haya bwana.

Kwanza haitwi Domo ni Diamond
Pili sina timu na sina sababu ya kuwa na timu.
Nyimbo za Diamond zaeleweka za kiba hata nyimbo na Video haziendani
 
wema naona anafurahia jambo hapa..

Bila shaka anasubiri kwa hamu kuona ex wake anapigwa chini kwa idadi ya tuzo..
 
Huo ndio ukweli hata kama ningekuwa naandika juu ya wa nchi zingine

hakuna ubishi kwa jilo

wewe ndio hauna jema kwa kutaka nibadili maneno yangu, ukweli unauma

Ku appreciate si mbaya pia kuficha hatred ni muhimu Leo ni tuzo tu hayo ya kukopa na first class ni out of topic.
Let's encourage our artists loh!
Oveeeer.
 
hizi tuzo kuna kitu nakiona nyuma ya pazia hasa kwa wasanii kiba na diamond.

kuna mchezo wamecheza ili kubalance game kuna kitu wana hofia kutoka kwa team kiba na team mond!

Ni mawazo yangu na haya fungamani na upande wowote leo nasimama kama free obsever.
 
Mi naumia Christian Bella kukosa tuzo nimeudhika hapaaaa

Naungana na ww ktk maumivu yako...nimeumia Christian Bella kukosa tuzo...wimbo wake wa mama ulivuma mno na ni mzuri...

Live performance anaiwezeaa
 
Aisee ningekua mm Bella nisinge imba. Wenzangu wa Sanaa ile ile wanatunzwa mm ndo niendeleze burudani na sijaonekana.....waimbe waloshinda..

mkuu bella tuzo zake tunazo moyoni mwetu sisi mashabiki wake..hayo mengine tumwachie mungu..!!
 
Back
Top Bottom