Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaani mwaka huuu mmmmh kweli upepo umebadilika sana hata sijaamini kilichotokea hapa leo hii
 
hahaha this is too much, Alikiba mtumbuizaji bora over Diamond?
 
Hahahahaha aisee.. Huu ni ujinga.

Kareem Saad ndio anapokea tozu za kiba.. Haka kahindi kana roho mbaya sana
 
Back
Top Bottom