Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Watu wengne bhana usikute hata kura hujapiga kazi kutoa povu..... Kwan diamond n nan mpaka achukue yeye mwenyew ana mchango gani mpaka awe yeye wote si ni wasaka tonge sasa kwann apewe yeye mwenyew ... Kwahyo bila hao akina alikiba diamond angeshindana na nan Mawazo mgando hayo
 
Kwani ndo nani huyu? Sijawahi kumsikia ni manamziki au msanii bongo movie
 
Thanks god,semeni mtakayosema ila tuzo hz kama jux asingepata tuzo zingekuwa meaningless kwa upande wangu jamaa anajua kuimba alafu anatoa hit juu ya hit.big up to him popote alipo na fans wake wa ukweli
 
Watu wengne bhana usikute hata kura hujapiga kazi kutoa povu..... Kwan diamond n nan mpaka achukue yeye mwenyew ana mchango gani mpaka awe yeye wote si ni wasaka tonge sasa kwann apewe yeye mwenyew ... Kwahyo bila hao akina alikiba diamond angeshindana na nan Mawazo mgando hayo

Mleta mada kavurugwa, hata maana ya mashindano hafahamu. Kama walikuwa wanajua diamond ndiye mshindi hakukuwa na haja ya mashindano msituandalie matokeo.

Vilevile hujalazimishwa ukubaliane na Matokeo ki.a..zi wewe.

Nenda mahakamani kama imekuuma.
 
naona povu linakutoka hahahahaha.... sijamuongelea diamond pekee hapo juu...na mbona unawashwa kumtaja yeye
 
Back
Top Bottom