Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 345
Mbona AY huwa haangaiki na hv vi2zo vidogo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa, mkuu umenivunja mbavu.
Na AKOSE tu maana hakuna namna nyingine. ...
Hakujifunza kwa Marlaw,majukwaa ya siasa ni anguko lake
Nishampigia Davido mkuu
Hahaha unatamani iwe uongo eh! anyway yamepita hayo kikubwa ukweli umejulikana hapa ndio pa kuanzia kuujenga muziki wetu.
Hahaha unatamani iwe uongo eh! anyway yamepita hayo kikubwa ukweli umejulikana hapa ndio pa kuanzia kuujenga muziki wetu.
Hiyo ni page fake ya Kili, endeleeni kulia lia huku kwetu sherehe.
Kama wananchi ndio waliomchagua kiba? Sasa hayo makosa yalitokea wapi? Tunaelekea kuchanganyikiwa sasa
Wewe ndio hujui impact ya diamond kwenye mafanikio ya Kiba but yeye anajua na hata ukisema wapatane leo atasita kwa maana bifu linamtoa zaidi..
Namkubali Kiba tangu enzi na enzi na sina timu kwenye muziki bali nasimamia ninachokiona. Lakini namkumbusha tu Watz siku zote ukiwa juu wanakutafutia sababu ushuke ndio mana hatufiki mbali..
yaaaaana wanatumiaaa nguvu kubwaaa balaaaa wanazuiaaa mafuriko kwa viganja
Yani kabisa, walimuita mtu akasoma mshindi na tuzo akapewa eti leo ndo wanajua walikosea mxiew
Diamond hivi karibuni alitoa kauli kuwa "Ali Kiba anakula makombo yake" akimaanisha uhusiano wa Ali Kiba na Jokate Mwegelo eti Jokate ni makombo ya Diamond!
Hilo ni tusi na alipaswa kuomba radhi na kuonyesha kujutia kauli yake hiyo! Hivi mtu na akili yake timamu tena kioo cha jamii kwenye nchi ya maadili unatoa kauli kama hiyo?
Hamuwezi amini lakini hata hizo tuzo mbili ilikuwa ni kumhurumia tu kwani hakustahili! Ni lazima afunzwe adabu!
Tukianza kutoa lugha chafu kama hizo hatujengani kisanii! Jokate naye ni msanii na hapaswi kudhalilishwa na mwanaume kisa eti alimpa penzi!
Hapana huyu ni lazima ajirudi na ajuwe kuwa yeye ni kioo cha kujenga jamii na siyo kuibomoa! Nadhani hilo ni onyo kali kwake!
Acha kutafta sababu simple umejuaje kuwa watanzania hutafta sababu ya kumshusha mtu akiwa top. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa what the hell is kushushwa😱😱
Yani unatafta sababu eti kiba anatumia bifu really:what::what: msijidanganye ka kiba alitumia bifu kurudi kwanini domo asitumie hlo bifu kuchukia tuzo.
Kaeni chini na msanii wenu muangalie mlipoteleza sio kusingizia Watanzania kwa failure ya mtu na mambo yako. Sio visababu vya kijinga eti bifu anaonewa wivu anataka kushushwa.