Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tairi la gari likipasuka na kutoa mlio tutashuhudia Polisi wakitawanyika huku wakiijibu pancha kwa risasi zaidi ya 100.
 
Hizo ni nyumba zao halali kabisa na ni haki yao kulala hapo.
Lakini ilikuwa ni utoto wa hali ya juuu au kutafuta excuse kwa makamanda wetu kuacha kushiriki maandamano kwa wao kulala kwenye nyumba ambazo kila kamanda kuanzia juu mpaka chini wanazifahamu.
Hapo hamna maandamano yoyote kwa sababu jeshi la polisi limeamua kufanya decapitation ya hali ya juu.
 
Nahisi Tanzania hii chama cha upinzani ilikuwa ni CUF pekee na nadhani ni kwasababu asilimia kubwa walikuwa ni waislamu waislamu sio watu waoga hata kidogo lakni hawa kanyerahumo humo hamna kitu wakikumbuka kipigo kilichompata lipumba kila moja anashika mbupu zake na kutoka ndukii.
 
Wazo Zuri na umetoa angalizo mujarabu kwa Future ya chama
 
Niko Ilala Mtaa wa Arusha, Naanzia kituo cha Boma
mpaka aibi yaani mmechemsha bado tu tunasubiri kauli yako ya kusema askari ndiyo wameandamana kwahiyo maandamano yamefaulu kwa kiasi kikubwa hahaaaa jaribuni muone mtakavyo chakazwa
 
Kwa nchi ambayo maandamano ya amani tu unakutana na kundi la askari na defender yao na mitutu ya bunduki, imagine hayo ni maandamano ya amani tu lakini polisi wamejitanda njiani kama siafu, ni ngumu kwa mwananchi asiye na silaha kujitokeza kuandamana.
 
hakuna waandamanaji hapo wote mademu tu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…