Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alikwenda kuhitimisha, asingekwenda si ndiyo mngesema kaingia mitini.
😂😂😂
Kwahiyo mlitaka kutuponza Watanzania, lengo lenu lilikuwa kutukutanisha na POLISI barabarani?

Kwahiyo siku nyingine tukisikia CHADEMA wamehitisha maandamano Watanzania tupuuzie, sio?
Maana lengo lenu sio raia wa kawaida waandamane, mnataka POLISI waandamane. Si ndio?
 
Strategies mdau.
Impact ya kumlaza Mbowe kwenye pick up unaijua?
Unajua madhara yake kwa nchi na raia?
Kuna namna lazima tutofautiane tu.
 
Sisi masikin tunateseka nyie mnasema wanafanya biashara

Nauli zimepanda bei kila kitu bei juu samia hajui dollar haishiki Samia hajui huduma mbovu maofisin Samia hajui tumepoteza wapendwa wetu Samia hajui
 
Strategies mdau.
Impact ya kumlaza Mbowe kwenye pick up unaijua?
Unajua madhara yake kwa nchi na raia?
Kuna namna lazima tutofautiane tu.
Kwamba hata jela alitokwenda Mbowe ilikuwa na AC?

Tujifunze kuheshimu viongozi wetu Toka Kwa wadudu waitwao siafu,

Malkia wa siafu au mchwa hulindwa Kwa gharama yoyote ikibidi hata kufa,

Ni wapi mmeilinda nyumba ya Mbowe asikamatwa au kudhuriwa na polisi?
 
Strategies mdau.
Impact ya kumlaza Mbowe kwenye pick up unaijua?
Unajua madhara yake kwa nchi na raia?
Kuna namna lazima tutofautiane tu.
Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.
 
Tatizo nani? Mkamataji au muandamanaji?
 
Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.
Anyway nyie si mnajiona hii nchi ni yakwenu?
Mna haki nayo kuliko wengine?
Yatawatokea Puani.
 
Wewe ndo umesema sasa hata katika issues za kawaida wanakuwa na uoga. Angalia jinsi watu humu wanavotoa vitisho utasema watu wa maana. Na hii ina impact mpaka kwenye ngazi ya familia.
 
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…