Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kbbsa sio cdm sio ccm wamechoka hadi wamechoka tenaKuna kuchokwa mkuu, ogopa sana ukichokwa.
😂😂😂Alikwenda kuhitimisha, asingekwenda si ndiyo mngesema kaingia mitini.
Strategies mdau.Leo kulipaswa kuwa na maandamano ya Chadema jijini Dar es Salaam.
Huko mtandaoni tunaona watu kadhaa wakikamatwa ila sijapenda kabisa UPENDELEO MKUBWA WANAOUFANYA POLISI.
-. Mwenyekiti Mbowe amekamatwa na kuingizwa kwenye V8 anapigwa AC
-. Mtoto wake Nicole naye amekamatwa, ameingizwa kwenye Land Cruiser anapigwa AC
-. Lakini wananchi wa kawaida wamekamatwa wamelazwa kifudifudi nyuma ya Defender za polisi wakipogwa na jua kali.
KAMA NI KUTUKAMATA WOTE TUNGEWEKWA KWENYE AC, SIO VIONGOZI WANAKULA AC WANANCHI WANAPIGWA JUA
Ahsante kwa kunitag. Maandamano yalitangazwa ya amani. Hakukua na haja ya kutumia nguvu nyingi kwenye mambo madogokutangaza maandamano ni sawa na kutangaza vita na dola
Kwamba hata jela alitokwenda Mbowe ilikuwa na AC?Strategies mdau.
Impact ya kumlaza Mbowe kwenye pick up unaijua?
Unajua madhara yake kwa nchi na raia?
Kuna namna lazima tutofautiane tu.
Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.Strategies mdau.
Impact ya kumlaza Mbowe kwenye pick up unaijua?
Unajua madhara yake kwa nchi na raia?
Kuna namna lazima tutofautiane tu.
Sio tu kulala kwake........kafika sehemu waliopanga kuanza maandamano........Magomeni 😀 😀Kitendo cha kutokulala kwake hii imeonesha huyu jamaa yupo mbele ya muda .
Tatizo nani? Mkamataji au muandamanaji?Leo kulipaswa kuwa na maandamano ya Chadema jijini Dar es Salaam.
Huko mtandaoni tunaona watu kadhaa wakikamatwa ila sijapenda kabisa UPENDELEO MKUBWA WANAOUFANYA POLISI.
-. Mwenyekiti Mbowe amekamatwa na kuingizwa kwenye V8 anapigwa AC
-. Mtoto wake Nicole naye amekamatwa, ameingizwa kwenye Land Cruiser anapigwa AC
-. Lakini wananchi wa kawaida wamekamatwa wamelazwa kifudifudi nyuma ya Defender za polisi wakipogwa na jua kali.
KAMA NI KUTUKAMATA WOTE TUNGEWEKWA KWENYE AC, SIO VIONGOZI WANAKULA AC WANANCHI WANAPIGWA JUA
Anyway nyie si mnajiona hii nchi ni yakwenu?Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.
Wewe ndo umesema sasa hata katika issues za kawaida wanakuwa na uoga. Angalia jinsi watu humu wanavotoa vitisho utasema watu wa maana. Na hii ina impact mpaka kwenye ngazi ya familia.Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.
Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.
Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojiaLeo kulipaswa kuwa na maandamano ya Chadema jijini Dar es Salaam.