Hivi unaona wanapiga makele ya maandamano zaidi ya Mzee Mbowe,Lema na Mrema ?Lissu hana namna kwa maana hana mahali pa kupazia sauti ,mkimbiwa hiki chama kinaaibisha wachagga muwe mnaelewa ndio maana wachaga halisi (Vunjo ) huu upuuzi wa chadema haupo.Mkuu mbona kama unachiki binafsi na wachaggaa wamekulia mkee
MwehuHivi unaona wanapiga makele ya maandamano zaidi ya Mzee Mbowe,Lema na Mrema ?Lissu hana namna kwa maana hana mahali pa kupazia sauti ,mkimbiwa hiki chama kinaaibisha wachagga muwe mnaelewa ndio maana wachaga halisi (Vunjo ) huu upuuzi wa chadema haupo.
Wengi wanaosemekana wamrpotea ni wachagga ambao wanaponzwa na mzee mbowe .Ni vyema akulizwa huwa anawapeleka wapi ndugu zake hawaKwamba wachaga pekee ndo wanao tekwa na kuoptezwa/kuuliwa?.
Ajabu ni wewe umelala unamsubiri mume wa mtu aje kukugida.Sawa lakini huoni ajabu chama kina wafuasi zaidi ya 5m nchi nzima halafu mbowe amekutwa kwenye maandamano peke yake , huoni hapo kuna tatizo, ina maana hata wewe unayeandamana humu jf pia umemsaliti mwenyekiti
Sasa wakati mnasema mtaambana hakujua kama polisi walikataza? Ina maana hadi hilo pia mfundishwe?Ajabu ni wewe umelala unamsubiri mume wa mtu aje kukugida.
Kwa mapolisi yalivyopiga show mitaani unadhani watu wangetoka
Kiongozi kaonesha mfano katoka,unataka na akina mama bawacha tena?Yani hata bavicha sijui na bawacha hatuwaoni barabarani chadema mmetuangusha sana ,ila ukiwakuta vujiweni wanavyojua kukosoa na kutukana watu na kujiona wana akili kushinda wengine kumbe waoga na wajinga tu
Polisi walivoandamana nchi zima imetoshaSawa lakini huoni ajabu chama kina wafuasi zaidi ya 5m nchi nzima halafu mbowe amekutwa kwenye maandamano peke yake , huoni hapo kuna tatizo, ina maana hata wewe unayeandamana humu jf pia umemsaliti mwenyekiti
Hahahah narudia usimuamini mtanzania hata siku mojaPolisi walivoandamana nchi zima imetosha
Unataka nani tena aandamane Barabarani?
Kwani aliyesema wandamane hujamuon ktk maandamano?Sasa wakati mnasema mtaambana hakujua kama polisi walikataza? Ina maana hadi hilo pia mfundishwe?
Waandamane kwani wana silaha?Ingekuwa hai watu wangekuwa washaandamana!
Wewe unaona wenzako polisi walivoandamanishwa wiki nzima mabarabarani na jua kaliHahahah narudia usimuamini mtanzania hata siku moja
Sasa nyie wanachadema mmemsaliti mwenyekiti inakuwaje kajikuta peke yake magomeni mlitakiwa muwe pale siyo humu jf mnatukana watu kama kawaida yenu ila maandamano aaah, ukiwaza kidimbwi eti ukakae selo unaghairiKwani aliyesema wandamane hujamuon ktk maandamano?
Narudia haukp vizuri leo lala ukiamka kesho akili itakuwa imekukaa sawa
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Mchepuko pia?Shemeji yenu niko nae hapa tukiuawa tuzikwe kaburi moja tafadhalini
πππChadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Toa njia mbadala namna tunavyoweza kutatua hayo matatizo na changamoto zilizopo kwenye mfumo huu wa utawala tulionao.Wananchi tukiendekeza hisia mbele kuliko logic wanasiasa watatuingiza matatizoni miaka michache ijayo mbeleni.
Katiba mpya maandamano.
tume huru ya uchaguzi maandamano.
Kodi kubwa na ushuru mkubwa maandamano.
Kutekwa kwa watu maandamano.
Everything kwenye hii nchi kinashinikizwa kitafutiwe suluhu kwa maandamano why maandamano?
Tujifunze kwa kupitia mifano ya nchi jirani zinazopitia hali ngumu kisa maandamano na jinsi yanavyoathiri amani na uchumi wa nchi zao.
Sidhani kama tumekosa haki ya kuhoji na kutatuliwa shida zetu kiasi cha kutufanya tuingie kwenye maandamano ya namna hii, ingali changamoto zipo kweli katika mfumo wa utawala hapa nchini.