Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu mbona kama unachiki binafsi na wachaggaa wamekulia mkee
Hivi unaona wanapiga makele ya maandamano zaidi ya Mzee Mbowe,Lema na Mrema ?Lissu hana namna kwa maana hana mahali pa kupazia sauti ,mkimbiwa hiki chama kinaaibisha wachagga muwe mnaelewa ndio maana wachaga halisi (Vunjo ) huu upuuzi wa chadema haupo.
 
Sawa lakini huoni ajabu chama kina wafuasi zaidi ya 5m nchi nzima halafu mbowe amekutwa kwenye maandamano peke yake , huoni hapo kuna tatizo, ina maana hata wewe unayeandamana humu jf pia umemsaliti mwenyekiti
Ajabu ni wewe umelala unamsubiri mume wa mtu aje kukugida.
Kwa mapolisi yalivyopiga show mitaani unadhani watu wangetoka
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
 
Yani hata bavicha sijui na bawacha hatuwaoni barabarani chadema mmetuangusha sana ,ila ukiwakuta vujiweni wanavyojua kukosoa na kutukana watu na kujiona wana akili kushinda wengine kumbe waoga na wajinga tu
Kiongozi kaonesha mfano katoka,unataka na akina mama bawacha tena?

Maandamano ya polisi kwa niaba yametosha 😄

Unawatakia nini tena chadema?
 
Sawa lakini huoni ajabu chama kina wafuasi zaidi ya 5m nchi nzima halafu mbowe amekutwa kwenye maandamano peke yake , huoni hapo kuna tatizo, ina maana hata wewe unayeandamana humu jf pia umemsaliti mwenyekiti
Polisi walivoandamana nchi zima imetosha

Unataka nani tena aandamane Barabarani?
 
Wananchi tukiendekeza hisia mbele kuliko logic wanasiasa watatuingiza matatizoni miaka michache ijayo mbeleni.

Katiba mpya maandamano.
tume huru ya uchaguzi maandamano.
Kodi kubwa na ushuru mkubwa maandamano.
Kutekwa kwa watu maandamano.
Everything kwenye hii nchi kinashinikizwa kitafutiwe suluhu kwa maandamano why maandamano?
Tujifunze kwa kupitia mifano ya nchi jirani zinazopitia hali ngumu kisa maandamano na jinsi yanavyoathiri amani na uchumi wa nchi zao.

Sidhani kama tumekosa haki ya kuhoji na kutatuliwa shida zetu kiasi cha kutufanya tuingie kwenye maandamano ya namna hii, ingali changamoto zipo kweli katika mfumo wa utawala hapa nchini.
 
Kwani aliyesema wandamane hujamuon ktk maandamano?
Narudia haukp vizuri leo lala ukiamka kesho akili itakuwa imekukaa sawa
Sasa nyie wanachadema mmemsaliti mwenyekiti inakuwaje kajikuta peke yake magomeni mlitakiwa muwe pale siyo humu jf mnatukana watu kama kawaida yenu ila maandamano aaah, ukiwaza kidimbwi eti ukakae selo unaghairi
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
 
Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 2
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
😂😂😂
 
Wananchi tukiendekeza hisia mbele kuliko logic wanasiasa watatuingiza matatizoni miaka michache ijayo mbeleni.

Katiba mpya maandamano.
tume huru ya uchaguzi maandamano.
Kodi kubwa na ushuru mkubwa maandamano.
Kutekwa kwa watu maandamano.
Everything kwenye hii nchi kinashinikizwa kitafutiwe suluhu kwa maandamano why maandamano?
Tujifunze kwa kupitia mifano ya nchi jirani zinazopitia hali ngumu kisa maandamano na jinsi yanavyoathiri amani na uchumi wa nchi zao.

Sidhani kama tumekosa haki ya kuhoji na kutatuliwa shida zetu kiasi cha kutufanya tuingie kwenye maandamano ya namna hii, ingali changamoto zipo kweli katika mfumo wa utawala hapa nchini.
Toa njia mbadala namna tunavyoweza kutatua hayo matatizo na changamoto zilizopo kwenye mfumo huu wa utawala tulionao.
 
Back
Top Bottom