Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa usichoelewa nini unabisha kuwa hatujawapigisha kwata maelfu ya askari polisi na kuandamana badala yetu kwa gharama ya serikali?
Kwahiyo LENGO lenu limeshatimia?
😂😂😂
Gharama ya serikali?
😂😂😂😂

Unaamini serikali inawaza kuhusu gharama kwenye hili?

Kwa mawazo ya wafuasi wa aina yako, Mbowe ana kazi kubwa sana.
 
Wapo nje ya nyumba yake tangu jana jioni
Tokea alipotangaza maandamano hakutakiwa kufahamika alipo, kutangaza maandamano ni sawa na kutangaza vita na dola hasa wakati huu ambao tupo kwenye vuguvugu la kupotea na kuuliwa kwa wapinzani wenzao.

Hatujafikia kwenye demokrasia komavu kiasi cha kiongozi wa upinzani kuamkia nyumbani kwake kwenda kuongoza maandamano.
Shadow7
 
True,
ila ni ngumu kwake kuingia sehem bila kujulikana,
Bora angeitisha mkutano na wa habari na kukiwasha same day.
 
Leo kulipaswa kuwa na maandamano ya Chadema jijini Dar es Salaam.
Huko mtandaoni tunaona watu kadhaa wakikamatwa ila sijapenda kabisa UPENDELEO MKUBWA WANAOUFANYA POLISI.
-. Mwenyekiti Mbowe amekamatwa na kuingizwa kwenye V8 anapigwa AC
-. Mtoto wake Nicole naye amekamatwa, ameingizwa kwenye Land Cruiser anapigwa AC
-. Lakini wananchi wa kawaida wamekamatwa wamelazwa kifudifudi nyuma ya Defender za polisi wakipogwa na jua kali.

KAMA NI KUTUKAMATA WOTE TUNGEWEKWA KWENYE AC, SIO VIONGOZI WANAKULA AC WANANCHI WANAPIGWA JUA
 
MSIGWA mwenyewe ndio mfanyabiashara namba moko anayewachezea watanganyika akili zao.

Baada ya kuona maokoto yamebumba ndani ya chadema akaamua kukimbilia ccm kuokoteza asali zilizosalia.
 
Back
Top Bottom