Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Naomba kujua YouTube channel gani inaonesha mikutano ya Lissu?
 
Umeandika kimasikini sana !
Umaskini ni pamoja na kufikiri kwamba Ku sacrifice maisha kwa ajili wanasiasa basi wewe ni jasiri.

Tabia za wanasiasa zinafanana. Sasa sijui uta sacrifice mpaka lini.

Siwezi Fanya huo upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…