Also a brief background about those parties. Mwaka juzi zari alifanya white party wabongo wakaingia akasema hatofanya tena Ug kwamba hapa kapata support ya kutosha kuliko kwao. Mpaka akasema kuna msemo wa wa Mtume hakubaliwi kawo.
So what happened in July Don zella kutoka Marekani katangaza kua atakua na party ya gal power kuwa support single mothers. Kilichotokea zari kasikia, kwavile wana longtime beef akaikanso ya Kenya maana alikua ameamua mwaka huu aifanyie Nairobi akaja nae katangaza White party on the same date of Don zella wakati alikua ameshasema hawezi tena fanyia Ug. Ndo Don nae kamua kumwaga ugali kumwalika Misa with lot's of money. Na vile ilikua business Misa asingeweza kukata.
That's what we call nitumia beef kutengenze pesa sio hawa wabongo kutupiana vijembe kwenye mtandao.
Ila hapa nampongeza Misa maana katumia mwanya huu wa uke wenzaa kujipatia mkwanja mrefu. Sio kama akina Wolper, Kajala Wema and the like