Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Jana usiku ndio ilikua siku ya zari all white party ambayo alifanyia uganda, nimekuletea video kuanzia anaingi ukumbini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani mwanaume mrembo hapoKuna wanaume warembo kama wanawake.
Maisha ya ushindani ni mbaya sana. Afanye party kkwasabb she feels like and not because she wants to win someone's attention . Ataishia kujisuprise mileleThey expected diamond to turn but no where to be seen hasira anazimalizia Snapchat. Haijamplipa
Also a brief background about those parties. Mwaka juzi zari alifanya white party wabongo wakaingia akasema hatofanya tena Ug kwamba hapa kapata support ya kutosha kuliko kwao. Mpaka akasema kuna msemo wa wa Mtume hakubaliwi kawo.Maisha ya ushindani ni mbaya sana. Afanye party kkwasabb she feels like and not because she wants to win someone's attention . Ataishia kujisuprise milele
Mkuu mkwanja mrefu sh ngapi?Also a brief background about those parties. Mwaka juzi zari alifanya white party wabongo wakaingia akasema hatofanya tena Ug kwamba hapa kapata support ya kutosha kuliko kwao. Mpaka akasema kuna msemo wa wa Mtume hakubaliwi kawo.
So what happened in July Don zella kutoka Marekani katangaza kua atakua na party ya gal power kuwa support single mothers. Kilichotokea zari kasikia, kwavile wana longtime beef akaikanso ya Kenya maana alikua ameamua mwaka huu aifanyie Nairobi akaja nae katangaza White party on the same date of Don zella wakati alikua ameshasema hawezi tena fanyia Ug. Ndo Don nae kamua kumwaga ugali kumwalika Misa with lot's of money. Na vile ilikua business Misa asingeweza kukata.
That's what we call nitumia beef kutengenze pesa sio hawa wabongo kutupiana vijembe kwenye mtandao.
Ila hapa nampongeza Misa maana katumia mwanya huu wa uke wenzaa kujipatia mkwanja mrefu. Sio kama akina Wolper, Kajala Wema and the like
Zari the undifitted her back never touch the earth[emoji123]
Mwanaume wa dar huyoZari the undifitted her back never touch the earth[emoji123]