Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

Yaani Mh Lissu pamoja na kwamba anapitia mazingira magumu lakini anatuimarisha sana Sisi tunaofuatilia hii kesi ya mchongo.
 
Lissu yupo 'sharp' sana kiakili.
 
Yaani Mh Lissu pamoja na kwamba anapitia mazingira magumu lakini anatuimarisha sana Sisi tunaofuatilia hii kesi ya mchongo.
Unajuwa mkuu 'Manyanza'?
Kesi hii inayo mafunzo mengi sana kwa jamii, na kwa kila rika.

Nilipokuwa mdogo, nilikuwa ninakuwa 'inspired' na mifano ya watu ambao walionyesha umashuhuri katika maeneo mbalimbali ya kimaisha.
Sekondari kulikuwa na mwanafunzi mmoja wa kipekee sana. Huyo jamaa ikifika usiku wa masaa nane hivi, anakwenda darasani mbao zote anajaza maandishi ya aliyojifunza wakati huo wa usiku wengine wote tukiwa tumelala. Asubuhi tunaingia darasani tunakuta hayo yote, na jamaa alikuwa anafanya vizuri sana kimasomo. Huyu alikuwa mbele yetu miaka kadhaa. Kwa hiyo alikuwa ni 'ispiration' ya ajabu sana kwa baadhi yetu.

Jamaa alikuja kuwa 'Neurologist' wa kwanza Tanzania.

Tundu Lissu, kwa darasa hili alilopewa kufundisha waTanzania; na hasa kwa vijana ambao bado wapo huko chini; ni 'inspiration' kubwa sana endapo kama tutaondokana na mfumo huu waliotuingiza CCM.
 
We nyumbu mahakama haipokei kesi ya mchongo acha ushabiki wa kipumbavu. Hivi hivi mtu anafungwa nyie mko mnashabikia humu JF
 
Ni Ni upuuzi tu, eti km yapo, maelezo polisi unaandika kwa mwongozo wa askari anayechukua maelezo siyo kwa matakwa au matarajio ya mshtakiwa
 
Moja ya Kesi ya Ki...pumbavu sana hii....Mpaka hapo Shahidi wa siri yuko wapi?!Mwandishi wa Habari aliyetumwa Officially na Jambo TV ku cover tukio anakuwaje wa siri??Mimi binafsi na wengi tu waliopo hapo Mahakamani leo tulikuwepo na tulisamiliana naye....Haya Mnyika ndiye aliye mwandikia hata barua ya wito alikuwepo...Lissu alikuwepo...nk???!
 
We nyumbu mahakama haipokei kesi ya mchongo acha ushabiki wa kipumbavu. Hivi hivi mtu anafungwa nyie mko mnashabikia humu JF
Ni kweli atafungwa, sio kwa ushahidi unatolewa, ila kwa maagizo ya Samia. Unapoona wawekezaji hawataki mashauri yao kupelekwa kwenye mahakama zetu, ni kwa sababu maamuzi ya mahakama zetu hayaendani na ushahidi wa kisheria, bali matakwa ya viongozi. Yaani ni kama zile kura 31m alizotangazwa nazo Samia bila uwepo wa idadi hiyo kwenye vituo vya wapiga kura.

Yaani mnalazimisha ujinga wa viongozi kuharibu mifumo ya kimamlaka kwenye nchi. Hii ndio maana wazungu hutuita manyani.
 
Ni
Ni upuuzi tu, eti km yapo, maelezo polisi unaandika kwa mwongozo wa askari anayechukua maelezo siyo kwa matakwa au matarajio ya mshtakiwa
Kwa maneno marahisi huko polisi unatakiwa kuandika maelezo ya uongo, au kwa matakwa ya askari.
 
Tanzania imefika huku Kwa kwasababu ya watu waoga
 
Huyu shahidi P sioni kama kajificha maana kama walienda siku hiyo wakiwa wawili pale HQ ya chama mbona sasa tumeshawajua na kwa kusema aliposoma na kiwango chake cha elimu , getini pale lazima waliacha utambulisho sasa hapo kajificha nini?

Wanatumika vilaza ndio maana hata akina Yericko Nyerere walipoenda kutoa ushahidi feki walijulikana.

Hivi ni nani anawashauri hawa vilaza akina Katuga kuleta hizi sarakasi?
 
Haha alishamsoma kitambo ndo maana shahidi kawa mkweli
wala hajasumbua!
 
Hii kesi imekuwa kule kwetu Malawi kuleta shahidi mmoja , ina Faida mbili kwa baadhi Yao na hasara mbili Kwa wengine.

Faida ni allowance wanazopata, pili , Faida ya kuendelea kumuweka mahabusu wao.

Hasara Kwa upande mwingine ni Kwa mtuhumiwa kuendelea kukaa mahabusu.

Na nchi ya Malawi kushindwa kuzitumia fedha hizo kwenye Miradi ya kimaendeleo
 
Hapa imetumika akili kubwa sana, Kuna watu wameumbuka
 
Shahidi wa Leo ameokoka na amekuwa mkweli Kwa kila swali na kama DPP angekuwa na Akili timamu Leoleo angeifuta hii kesi kutokana na huyu shahidi wa Leo
Tatizo ameshikiwa akili na elimu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…