Sio maboya, ni wazuri hao jamaa.2_0 hawa maboya wametuweza
Beki ana miaka 45 unategemea niniWawa kafungiwa tela hapa mamaee dah
Nyie nguvu hamna,hivi Chama leo yupo?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Thimbaaaa amekua Sungura, leo anakuwa kitoweo
Wozaaaaaah kumekucha huku bado moja tufunge hesabuWeraaaaaaaaa
Bora iwe hata 2_1Sio maboya, ni wazuri hao jamaa.
Maboyaaa!2_0 hawa maboya wametuweza
Weka yanga pembeniIngekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila
Mbombo ngafu kweliChimba tuliwaambia chimba kidomodomo kitawaponza !!! ona sasa nkana wanajitwangia tuu watakavyo !!! vuchezaji vyenu vinarukaruka tuu na kucheza slowmotion!!! hawana uwezo wa kuona wenzao wanavyotoka baruti na kucheza long pass kwa kuwa mmekariri short pass sasa ndio zinaishia miguuni mwa adui, mlidhani hawa ni Mbabane??? sasa imbombo ngafu mnaomba mpira umalizike
Itakuwa 3:0Bora iwe hata 2_1
Labda iwe 5 -1.Bora iwe hata 2_1