Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Hivi Chama kacheza leo?
Maana hizi kelele za Chama, Chama, kana kwamba ni Messi
 
Nkana akija Taifa Uwanja mzuri ule Simba atakufa hakika.
Uwanjani mzuri ni advantage kwa Nkana pia, advantage kuu ya Simba ni kuwa uwanja wa nyumbani na mashabiki wao wahakikishe wanaujaza uwanja. Simba hapo wawahamasishe mashabiki wao wajitokeze kwa wingi na kuujaza uwanja, wasiangalie mapato, wapunguze kiingilio ikiwezekana cha chini kiwe elfu tatu, mapato wayasubiri wakitinga hatua ya makundi.

Vv
 
Uwezo wa Nkana kutia kagoli Taifa ni kubwa sana
 
Mbumbumbu fc hawana uwezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Simba wamekufa kiume kule Kitwe Zambia
2 _ 1 ni matokeo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…