Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Haaaaaahaaaaa haya mahaba ss binafsi mm namkubali sana triple c ila leo kapotezwa!Triple C mwamba wa Lusaka kaupiga mwingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaahaaaaa haya mahaba ss binafsi mm namkubali sana triple c ila leo kapotezwa!Triple C mwamba wa Lusaka kaupiga mwingi sana.
Labda huyo sumba sio SimbaSumba anatoka taifa over
Acha kejeli wewe timu inaongoza ligi na haijafungwa hata mechi moja unaibeza? Subirini tutawaresha matopeni tu hamna namna!
Eti wameupiga mwingi. Aliyewaroga kafa zamani. Huyo Chama Wazambia wenzie hawana pressure naye.Sijawahi ona watu wanashangilia kufungwa tangu nizaliwe..
Nipeni namba ya simu ya Aden Rage.
Eti wameupiga mwingi. Aliyewaroga kafa zamani. Huyo Chama Wazambia wenzie hawana pressure naye.
Uwanjani mzuri ni advantage kwa Nkana pia, advantage kuu ya Simba ni kuwa uwanja wa nyumbani na mashabiki wao wahakikishe wanaujaza uwanja. Simba hapo wawahamasishe mashabiki wao wajitokeze kwa wingi na kuujaza uwanja, wasiangalie mapato, wapunguze kiingilio ikiwezekana cha chini kiwe elfu tatu, mapato wayasubiri wakitinga hatua ya makundi.Nkana akija Taifa Uwanja mzuri ule Simba atakufa hakika.
Amecheza ila kwa bahati mbaya leo amekutana na michamaHivi Chama kacheza leo?
Maana hizi kelele za Chama, Chama, kana kwamba ni Messi
Unateseka sana enhe?Sio mzma ww unakuanza ukichaa
Uwezo wa Nkana kutia kagoli Taifa ni kubwa sanaUwanjani mzuri ni advantage kwa Nkana pia, advantage kuu ya Simba ni kuwa uwanja wa nyumbani na mashabiki wao wahakikishe wanaujaza uwanja. Simba hapo wawahamasishe mashabiki wao wajitokeze kwa wingi na kuujaza uwanja, wasiangalie mapato, wapunguze kiingilio ikiwezekana cha chini kiwe elfu tatu, mapato wayasubiri wakitinga hatua ya makundi.
Vv
Unateseka sana enhe?
Mtangazaji amesema Chama amezoea kuhenyesha wenzake Leo anahenyeshwa yeye. Kwenye TV ninayoangalia Mimi ni kweli anahenyeshwa sijui huko kwenu wadau.
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti wameupiga mwingi. Aliyewaroga kafa zamani. Huyo Chama Wazambia wenzie hawana pressure naye.
kufa ni kufa tu, uwe umegongwa na benzi ya ikulu au trekta la mkulima bado ni mfu tu, hakuna cha kufa kiume hapo!Simba wamekufa kiume kule Kitwe Zambia
2 _ 1 ni matokeo mazuri
Tangulia kaburini, mie sina haraka.Nan anateseka Kat ya wasimba na wayanga. Km vp kufa