Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kama ingekuwa historia ndio zinacheza mpira basi tungeona leo Nkana akishinda magoli manne, kwasababu Nkana hajawahi kumfunga Simba magoli chini ya nne wakiwa Zambia. Lakini leo imekuwa tofauti. Mpira hauna cha nyumbani wala ugenini kikubwa ni mbinu na ufundi wa mechi husika. Simba wanaweza kupata matokeo wakiwa na mbinu, na nidhamu nzuri ya mchezo. Na pia hata Nkana nao wananafasi ya kupata matokeo kama watafanikiwa kuwazidi mbinu SimbaHaya ni mashindano ya home and away. Bado dakika 90.
Nkana hana jinsi hajawahi kupona kufungwa pungufu ya 3.
Alishafungwa 3-1 Dar na 3-0 Morogoro.Atakufa tu.Anayebisha aweke dau. Mimi naweka milioni 2.Tumkabidhi moderator. Umama wa maneno matupu uishe.