Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Haya ni mashindano ya home and away. Bado dakika 90.
Nkana hana jinsi hajawahi kupona kufungwa pungufu ya 3.
Alishafungwa 3-1 Dar na 3-0 Morogoro.Atakufa tu.Anayebisha aweke dau. Mimi naweka milioni 2.Tumkabidhi moderator. Umama wa maneno matupu uishe.
Kama ingekuwa historia ndio zinacheza mpira basi tungeona leo Nkana akishinda magoli manne, kwasababu Nkana hajawahi kumfunga Simba magoli chini ya nne wakiwa Zambia. Lakini leo imekuwa tofauti. Mpira hauna cha nyumbani wala ugenini kikubwa ni mbinu na ufundi wa mechi husika. Simba wanaweza kupata matokeo wakiwa na mbinu, na nidhamu nzuri ya mchezo. Na pia hata Nkana nao wananafasi ya kupata matokeo kama watafanikiwa kuwazidi mbinu Simba
 
Kuna Mbumbumbu moja nilikuwa imekaa nayo eti inasema imetoa 2 - 2 kisa goli la ugenini.
 
Kama ingekuwa historia ndio zinacheza mpira basi tungeona leo Nkana akishinda magoli manne, kwasababu Nkana hajawahi kumfunga Simba magoli chini ya nne wakiwa Zambia. Lakini leo imekuwa tofauti. Mpira hauna cha nyumbani wala ugenini kikubwa ni mbinu na ufundi wa mechi husika. Simba wanaweza kupata matokeo wakiwa na mbinu, na nidhamu nzuri ya mchezo. Na pia hata Nkana nao wananafasi ya kupata matokeo kama watafanikiwa kuwazidi mbinu Simba
Kwani wamekutana zambia mara ngapi? Mara 2 na simba wametolewa kwa aggregate ya 4-3. Simba imeshinda nyumbani mara mbili, 3-0 na 2-0.
 
Tunahitaji ushindi wa goli moja kwa bila ili kutinga hatua ya makundi klabu bingwa barani Afrika wiki ijayo, inshallah tutawapiga nyumbani kwetu.
 
0-0 au 1-1 bongo nani atafuzu?
 
Tunakuja kumaliza game Taifa,Sisi Nkana hatuna ugenini wa home maana pale nyuma kuna Babu wawa hana jipya tena,golikipa ni pazia
 
Hizi timu zetu mbili pendwa ni kwa matumizi ya ndani tu kwa sasa. ..... ie vs Lipuli , vs mbao, vs ndanda & likes ..... huko nje nafikiri bado zinasindikiza.
 
Tunakuja kumaliza game Taifa,Sisi Nkana hatuna ugenini wa home maana pale nyuma kuna Babu wawa hana jipya tena,golikipa ni pazia
Tafuta pesa uweke mimi naweka milioni 2 kwa moderator kwamba Nkana anakufa tena goli zaidi ya 2.Una hakika na timu yako weka dau wacha umama.
 
Unadhani hela ndo kitu cha thamani zaidi we mremboo? Hiyo two million mpelekee mama yako kijijini huko hata mafuta ya taa hana
 
Wewe maankuli tu.Nina uwezo wa kukulisha wewe na chakula wenzako 10.
Unafanywa na Nkana?Litimu lako liko hali taabani bado umekalia kuisemea Simba. Hatutaki kubishana na poyoyo kama wewe.Ukianza matusi hapa ndio kiwanda.
Mporipori wahedi.
 
Michezo ni amani na upendo
 
Najua mkuu Lakini huyu poyoyo ameanza matusi. Wengine kama yeye wakionyeshwa ustaarabu hawaelewi.
Ukimuona poyoyo unaachana nae ajitukane mwenyewe mkuu wangekuwa na hela angeweka ila hana ndo maana anatukana.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom