Mkuu achana na huyo pimbi, mshauri aisaidie timu yake kupata hela ya chakula cha wachezaji kabla ya game yao ya leo manake mpaka muda huu wachezaji wa Yanga pamoja na bench lao la ufundi hawana uhakika wa chakula cha mchana kabla ya game yao na ruvu shooting.Najua mkuu Lakini huyu poyoyo ameanza matusi. Wengine kama yeye wakionyeshwa ustaarabu hawaelewi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Mbumbumbu moja nilikuwa imekaa nayo eti inasema imetoa 2 - 2 kisa goli la ugenini.
Kwa hyo unakubali kuna kufungwa ugenini na nyumbani pia? Basi sawa,ngoma bado nzitombona simba alikuwa home alifunga 4??
Hao Simba hata LIBOLO FC ya Angola [emoji1029] iliwatia tatizo ubishi tuKwa hyo unakubali kuna kufungwa ugenini na nyumbani pia? Basi sawa,ngoma bado nzito
Hilo lidude wanalikumbuka vizuri sana. Sijui kama walishalichomoa japo Mkuu Wa nchi alisema sasa hivi wana tunduHao Simba hata LIBOLO FC ya Angola [emoji1029] iliwatia tatizo ubishi tu
Nimekumiss mnoo mkoa kuanzia tarehe 20 mpenzi nimekuita hapa unitolee hiki kitendawili ujue shadeeya anafanana na ndg yetu hajar sana anasema sio yeye ni mapacha watakuwanipo my dear hata sijui nakosea wap tunapishana mnoo yaani tunasepa lini mkoa@shunie
Ooh. Akija atasema maana hata hilo jina sijawahi kuliona humu toka nije.
Haya tuendelee kuzungumzia mpira wetu. [emoji3][emoji3]
Pole sana ndugu yangu. Haya ikawaje Wakimataifa mkatutia aibu kiasi kile?Hahaha kweli mtakuwa mapacha wa nje sio kwa kufanana huku
Leo tunashinda 3 bila
Pole sana ndugu yangu. Haya ikawaje Wakimataifa mkatutia aibu kiasi kile?
Tunahitaji goli moja tu pale uwanja wa Mchina ili tusonge mbeleAaah. Wapi. Nilijua huwezi kosa sababu Brave.
Usinifanyie hivyo ndugu yako ujue. ππππEbu kwanza hizi habari za mpira zimeisha toka jana ujue
Hahahaaa ndio pakutuunga mkono hapo sasa ShadeeyaHakawezi kuwashinda ila na wao pia ukiangalia Sesten kamoja katawashinda?
Dah! Ninavowajua wanajangwani naona wote mtahamia Nkana siku hiyoDuuh! Hayo mfanye nyie wana Simba sisi tubaki watazamaji tu.
Historia haichezi mpira mkuu!!!Haya ni mashindano ya home and away. Bado dakika 90.
Nkana hana jinsi hajawahi kupona kufungwa pungufu ya 3.
Alishafungwa 3-1 Dar na 3-0 Morogoro.Atakufa tu.Anayebisha aweke dau. Mimi naweka milioni 2.Tumkabidhi moderator. Umama wa maneno matupu uishe.
Lete nyoro yako siku ya mechi. Mtanyamaza tu. Ushindi lazima.Historia haichezi mpira mkuu!!!