Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Muda bado, Simba bado wana utulivu mkubwa kuwawezesha kupindua ubao
 
Bado simba tutasawazisha na kushinda
 
Jamani natumia Laptop ni youbute gani inayoonyesha mpira huu wa Simba na Nkana,
 
Kiungo cha Simba kimekufa...wanacheza mavi mavi tuuu

Second half kocha inabid afanye sub ya mapema sanaaaaa

Kichuya akiingia,naiona kadi nyekundu kwa Nkana maana jamaa wanatumia nguvu balaaah

All in all,jamaa wanaongoza tu..ila so far sijaona mpira wao wa kutishaaa hata kidogo...

Hawa Nkana weupe saaana..Simba watafute goli la ugenini tuu..wakiweza wawapige kabisa uko uko

Mie ni Yanga damu.....ILAAAAH UZALENDO KWANZAAA!!!
 
Hi gemu ni physical Sana Sina hakika Kama kichuya ataweza maana hata kagere na miguvu yake wanampama na kudondoka
 
msimu huu timu ikitoka raundi ya kwanza hakuna kucheza Confederation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…