Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safiHalf time Nkana 1 Simba 0
Hiyohiyo ya mzee Alikimali
Nyota njema mkuuTulia mkuu gemu bado hii
Bado simba tutasawazisha na kushinda
Ndiyo maana yake. Kama kocha beberu hana plan B, wataumia zaidi.Nkana wamemiliki kiungo hapati services
Hapa unaleta utetezi tu. Nkana wamekata umemeYanga wangekuwa wameshakula 4 na beki ile ya yondan na ninja
Labda kama inacheza na Miemben fcSimba itashinda.
Hi gemu ni physical Sana Sina hakika Kama kichuya ataweza maana hata kagere na miguvu yake wanampama na kudondokaKiungo cha Simba kimekufa...wanacheza mavi mavi tuuu
Second half kocha inabid afanye sub ya mapema sanaaaaa
Kichuya akiingia,naiona kadi nyekundu kwa Nkana maana jamaa wanatumia nguvu balaaah
All in all,jamaa wanaongoza tu..ila so far sijaona mpira wao wa kutishaaa hata kidogo...
Hawa Nkana weupe saaana..Simba watafute goli la ugenini tuu..wakiweza wawapige kabisa uko uko
Mie ni Yanga damu.....ILAAAAH UZALENDO KWANZAAA!!!
Wishes are not hoasesIngekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila
msimu huu timu ikitoka raundi ya kwanza hakuna kucheza ConfederationLigi ya mabingwa Africa round ya Kwanza Leo inatimua vumbi Kati mashetani wekundu kutoka Zambia Nkana Red Devils na wekundu wa msimbazi Simba. Mshindi wa jumla katika michezo 2 watakayocheza atafuzu moja kwa moja hatua ya makundi huku atakaeshinda atupwa kwenye kombe la shilikisho barani Africa.
Wachambuzi wa soka barani Africa waipa wanaipa nafasi kubwa kushinda mshezo huu wa Leo kutokana na kuwa na kikosi Bora huku wakitandaza soka maridadi la kuvutia kiasi kufanishwa na kikosi Cha Manchester city.
Simba Leo itawategemea golikipa namba moja wa taifa stars aishi manula, akilindwa na mchezaji kiongozi Paschal Wawa, katikati mkude kotei na Chama watakuwa wakitawala kwa pasi fupi fupi za uhakika na mbele okwi, kagere na Bocco wakiongoza mashambulizi ya uhakika.
Watabiri wa masuala ya kubet wameipa Simba ushindi mnono.
Mchezaji tishio wa Nkana ni Walter Bwalya Simba wamepewa tahadhari ya kuwa makini nae. Pia mtanzania Hasan kessy atakuwa akiiwakilisha Nkana FC
Usikose mtanage huu hapa hapa JF mida ya saa 10 kamili jioni na saa 9 kwa muda wa Zambia
View attachment 968731