Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Unaangalia chanel gani mkuu...Faulo ya okwi inapanguliwa na kipa kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangalia chanel gani mkuu...Faulo ya okwi inapanguliwa na kipa kona
Of coz,watasikilizia kama huyo mwanamama aliye ofisini mwa daktari kwenye avatar yako.Watapata taabu kwelikweli.Leo mtabak kuwa wasikilizaji
HahahahaSimba wananyimwa penat ya wazi hapa kagere ameangushwa
Mmmh, nilimaanisha mbaki kusoma comment zetu tu.Huku jf kuana pa kusikilizia mkuu ?
Usijali mkuu, nimeshaona pa kucommentMmmh, nilimaanisha mbaki kusoma comment zetu tu.
Hahahahaa, sawa mkuuOf coz,watasikilizia kama huyo mwanamama aliye ofisini mwa daktari kwenye avatar yako.Watapata taabu kwelikweli.