Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ni kwanini masikini wengi wanawaza utumwa tu ?Ahaaa, kijakazi.
Naambiwa siku hizi mnaitwa Chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kwanini masikini wengi wanawaza utumwa tu ?Ahaaa, kijakazi.
Kama kawaida leo ataonesha kwamba pana utata ambao kufikia maamuzi kutamhitaji atumie muda zaidiInavyoonekana atatoa maamuzi J3 next week ili waweze kujipa muda wa kukutana weekend hii.
Kwanini mawakili wa utetezi wasijitoe? kesi ya hovyo kabisaHivi ni kwanini masikini wengi wanawaza utumwa tu ?
Naambiwa siku hizi mnaitwa Chawa
Wakijitoa, ulimwengu hautaona haya madhaifu ya mahakamaKwanini mawakili wa utetezi wasijitoe? kesi ya hovyo kabisa
Jaji wa hovyo kabisa yaani bora hata Kinana labda angetenda haki kidogoWakijitoa, ulimwengu hautaona haya madhaifu ya mahakama
Wakomae mpaka mwisho ili sheria zipindishwe wazi watu waone namna gani mahakama haipo huru
Kinachofanyika leo mahakamani kiliwahi kutokea upande wa jamhuri na jaji huyu huyu akasema si lazima shahidi ataje references number ili awe competent, majina yake sahihi vinatosha kuthibitisha yeye ni competent.
Ajabu ni kwamba hivyo vitu vyote vimefanywa na adamoo lakini upande wa mashtaka wanapinga, na wakili ameshindwa kujizuia mahaba yake ni wazi kabisa kwamba anataka apinge uhalali wa hii nyaraka
Mawakili wa utetezi Wangejitoa tangu mwanzo haya yote watu wasingeyaona
Mkuu sasa hapo ndiyo penye mtego wa kumnasa Jaji. Upande wa Utetezi nafikiri utakumbuka "walisema isiwe taabu tutakutana huko mbele"Jaji Mkuu asipo tazama hii kesi kwa umakini, Mahakama inaenda NAJISIWA WAZIWAZI.
Mawakili wa pande zote WANAMCHEZEA MH Jaji kama Mwanasesere, wanamyumbisha kwa sababu ya kutokuwa MAHILI amejikutana anapigwa kama mpira wa Kona. Mawakili ni maofisa wa Mahakama wanapaswa kuisiadia Mahakama kutoa maamuzi yenye haki.
Sasa kinachofanyika ni kuviziana na kumfanya JAJI MWANASESERE WAO! Jaji alikubali Kielelezo cha Upande wa Jamhuri kiingie kinyemela, maamuzi ya hovyo kuwahi tokea; leo kakutana na UPUUZI ule ule walio fanya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi wameurudia; wanaomba JAJI APOTOKE KAMA ALIVYO POTOKA MWANZO.... Mahakama inapelekwa wapi JAMANI!
Mheshimiwa Jaji Mkuu litazame hili, huyu Jaji wa Kesi ya Mbowe na Wenzake anatia DOA MHIMILI WA MAHAKAMA.
Unafahamu madhara ya Ushahidi huu wa kuingizwa mahakamani pasipo kufuata sheria kama utaachwa hivi hivi chini ya huyu Jaji kuamua pasipo kusimama na misingi ya kisheria?Mkuu sasa hapo ndiyo penye mtego wa kumnasa Jaji. Upande wa Utetezi nafikiri utakumbuka "walisema isiwe taabu tutakutana huko mbele"
Ndiyo maana tunasema Jaji afuate sheria na kanuni zinazosimamia Mahakama. Atakuwa salama na hakuna namna ya kumlaumu. Sasa yeye kaonyesha wazi kuwabeba wa Upande ule uliojichimbia chini zaidi.
MASKINI WATU WANAZIDI KUPUNGA TU KESI INAZIDI KUKOSA MVUTO NA WAZUNGU WAMESHAKATA MGUU KUJA KUSIKILIZA UHARO WA KIBATALA
HUYO SHAHIDI KALISHWA MANENO KUJA KUIDANGANYA MAHAKAMA HAPA ANAONGEA MANENO YA KUTIA HURUMA SASAHIVI GAIDI TU HUYO HANA UJANJA TUNDU LISSU KAOLEWA HUKO BWANA WAKE ATAMUACHA NA NANI?Hii kesi hata sio Ngumu kwa Jaji kama Alivyokiri yeye Mahakamani.
Ugumu wa kesi unakuja Kwasababu Jaji anataka kupindisha Sheria. Akitaka Kesi iwe nyepesi kwake basi Afuate Sheria.
Kuliko kuendelea kujidharirisha kwa kuwaambia Mawakili kuwa Hapa mbele mm napata tabu kwasababu nyinyi mko huko nyuma Mmekaa.
Mawakili wa Serikali Kwanini Wanakataa Barua Isipokelewe? Wanaficha Nini? Walikatisha Ushahidi Ghafla Ili mawakili wa utetezi wasipate muda wa kuandaa chochote lakini Ukweli Daima Husimama na Shahidi anaye Jitetea ameweka Wazi na ameonesha anajua anacho kisema na Kufanya.
Hivi TUNDU LISSU hawezi Kuja Kujiunga na Hii Kesi?
Kabisa ndugu!!Maswali ya jaji kwa mawakili wa utetezi yanatosha kujua yakwamba pingamizi la mawakili wa serikali limekubaliwa.
MAWAKILI WASOMI WA SERIKALI WANAWAHENYESHA VIBAYA KINA KIBATALA WANAJAMBAJAMBA TU MAHAKAMANI NA MAPINGAMIZI YAO YASIYOKUWA YAKISHERIA KILA SIK YANA TUPWAKabisa ndugu!!
Jaji hana haya hata kidogo, kwa akili za huyu jaji, nafuu za Iboya2021 pamoja na shda yake ya muda mrefu ya mtindio wa ubongo!!
Wahujumu uchumi papa hapa nchini wapo ndani ya CcmKuna makosa mengine zaidi ya ugaidi? Hii rushwa na uhujumu uchumi ya lini?
😀😀😀 huna akili wewe naona kma umejilaani wenyewe.Mungu atajibu kwa wakati wake, we we na vizazi vyote utaalaniwa. Mbwa wewe