Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake 3 - Kesi imeahirishwa hadi Nov. 29 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake 3 - Kesi imeahirishwa hadi Nov. 29 2021

Inavyoonekana atatoa maamuzi J3 next week ili waweze kujipa muda wa kukutana weekend hii.
Kama kawaida leo ataonesha kwamba pana utata ambao kufikia maamuzi kutamhitaji atumie muda zaidi

Halafu siku ya maamuzi hiyo jumatatu utaona namna ambavyo anakuja na hoja nyepesi kuwapinga upande wa utetezi, mpaka unajiuliza kulikua na haja ganj ya kuspend siku zote hizo kufikia hitimisho hili ambalo kimsingi halija lay kwenye sheria?
 
Kwanini mawakili wa utetezi wasijitoe? kesi ya hovyo kabisa
Wakijitoa, ulimwengu hautaona haya madhaifu ya mahakama

Wakomae mpaka mwisho ili sheria zipindishwe wazi watu waone namna gani mahakama haipo huru

Kinachofanyika leo mahakamani kiliwahi kutokea upande wa jamhuri na jaji huyu huyu akasema si lazima shahidi ataje references number ili awe competent, majina yake sahihi vinatosha kuthibitisha yeye ni competent.

Ajabu ni kwamba hivyo vitu vyote vimefanywa na adamoo lakini upande wa mashtaka wanapinga, na wakili ameshindwa kujizuia mahaba yake ni wazi kabisa kwamba anataka apinge uhalali wa hii nyaraka

Mawakili wa utetezi Wangejitoa tangu mwanzo haya yote watu wasingeyaona
 
Jaji wa hovyo kabisa yaani bora hata Kinana labda angetenda haki kidogo
 
Jaji Mkuu asipo tazama hii kesi kwa umakini, Mahakama inaenda NAJISIWA WAZIWAZI.

Mawakili wa pande zote WANAMCHEZEA MH Jaji kama Mwanasesere, wanamyumbisha kwa sababu ya kutokuwa MAHILI amejikutana anapigwa kama mpira wa Kona. Mawakili ni maofisa wa Mahakama wanapaswa kuisiadia Mahakama kutoa maamuzi yenye haki.

Sasa kinachofanyika ni kuviziana na kumfanya JAJI MWANASESERE WAO! Jaji alikubali Kielelezo cha Upande wa Jamhuri kiingie kinyemela, maamuzi ya hovyo kuwahi tokea; leo kakutana na UPUUZI ule ule walio fanya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi wameurudia; wanaomba JAJI APOTOKE KAMA ALIVYO POTOKA MWANZO.... Mahakama inapelekwa wapi JAMANI!

Mheshimiwa Jaji Mkuu litazame hili, huyu Jaji wa Kesi ya Mbowe na Wenzake anatia DOA MHIMILI WA MAHAKAMA.
Mkuu sasa hapo ndiyo penye mtego wa kumnasa Jaji. Upande wa Utetezi nafikiri utakumbuka "walisema isiwe taabu tutakutana huko mbele"

Ndiyo maana tunasema Jaji afuate sheria na kanuni zinazosimamia Mahakama. Atakuwa salama na hakuna namna ya kumlaumu. Sasa yeye kaonyesha wazi kuwabeba wa Upande ule uliojichimbia chini zaidi.
 
Unafahamu madhara ya Ushahidi huu wa kuingizwa mahakamani pasipo kufuata sheria kama utaachwa hivi hivi chini ya huyu Jaji kuamua pasipo kusimama na misingi ya kisheria?

Mawakili wa pande zote mbili walipaswa isaidie Mahakama kutoa HAKI na si hiki wanachokifanya; mahakama ina najisiwa NDUGU YANGU.
 
Maswali ya jaji kwa mawakili wa utetezi yanatosha kujua yakwamba pingamizi la mawakili wa serikali limekubaliwa.
 
Hii kesi hata sio Ngumu kwa Jaji kama Alivyokiri yeye Mahakamani.

Ugumu wa kesi unakuja Kwasababu Jaji anataka kupindisha Sheria. Akitaka Kesi iwe nyepesi kwake basi Afuate Sheria.

Kuliko kuendelea kujidharirisha kwa kuwaambia Mawakili kuwa Hapa mbele mm napata tabu kwasababu nyinyi mko huko nyuma Mmekaa.

Mawakili wa Serikali Kwanini Wanakataa Barua Isipokelewe? Wanaficha Nini? Walikatisha Ushahidi Ghafla Ili mawakili wa utetezi wasipate muda wa kuandaa chochote lakini Ukweli Daima Husimama na Shahidi anaye Jitetea ameweka Wazi na ameonesha anajua anacho kisema na Kufanya.

Hivi TUNDU LISSU hawezi Kuja Kujiunga na Hii Kesi?
 
HUYO SHAHIDI KALISHWA MANENO KUJA KUIDANGANYA MAHAKAMA HAPA ANAONGEA MANENO YA KUTIA HURUMA SASAHIVI GAIDI TU HUYO HANA UJANJA TUNDU LISSU KAOLEWA HUKO BWANA WAKE ATAMUACHA NA NANI?
 
Maswali ya jaji kwa mawakili wa utetezi yanatosha kujua yakwamba pingamizi la mawakili wa serikali limekubaliwa.
Kabisa ndugu!!
Jaji hana haya hata kidogo, kwa akili za huyu jaji, nafuu za Iboya2021 pamoja na shda yake ya muda mrefu ya mtindio wa ubongo!!
 
Kabisa ndugu!!
Jaji hana haya hata kidogo, kwa akili za huyu jaji, nafuu za Iboya2021 pamoja na shda yake ya muda mrefu ya mtindio wa ubongo!!
MAWAKILI WASOMI WA SERIKALI WANAWAHENYESHA VIBAYA KINA KIBATALA WANAJAMBAJAMBA TU MAHAKAMANI NA MAPINGAMIZI YAO YASIYOKUWA YAKISHERIA KILA SIK YANA TUPWA
 
Jaji alitengeneza precedence ya kupokea kielelezo cha PW2 kilichokuwa copied kwake lakini barua ilikuwa ikienda Dodoma hakujua amafungua pandora’s box. Kabla hata kwsho haijafika mbali precedence aliyotengeneza sasa inamleta kukubali barua ya utetezi.

Kukimbia wakati mwingine sio tabia njea. Wakili wa serikali alidhani mshitakiwa alipewa barua akiwa gerezani - kumbe kaoneshwa jana tu tena akiwa mahakamani! [emoji23][emoji23][emoji23]

Ninahisi kitu - Upande wa mashitaka unakataa barua hii ili kumfanya RPC wa Ilala asiijibu na kutoa nyaraka zinazotakiwa na utetezi. Kama kweli hakimu anataka kuwe na haki na pia ushahidi usio na shaka na maamuzi yake - anahitaji vitu vilivotajwa na mshitakiwa viletwe mahakamani. Ndio namna nzuri ya kumtendea haki mshitakiwa!!
 
Back
Top Bottom