Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

Sasa kama huyu shahidi wa leo,eeh Mungu awasaidie tu lakini.
 
Naomba unisaidie kuona ushahidi wowote au kielelezo chochote kinachoonyesha 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi'. Najaribu kutafuta kila siku sijafanikiwa. Labda ni mimi sielewi.
 
Kuna Mahakama mbili. Mahakama ya Jaji na Mahakama ya Jamii. Haya mapingamizi hata yakitupwa na Jaji, jamii haiyatupi. Na Mahakama kubwa zaidi ni ya jamii. Huu ushahidi nao utakataliwa na Jaji lakini jamii itajua kuwa Msemwa alisema uongo. Watamfunga Mbowe lakini watajua huko mbele itabidi kutumia nguvu za ziada kubaki madarakani kwa sababu watu wengi watakuwa hawana imani nao.

Amandla...
 
Kwako wewe haki ni kina Mbowe kushinda!!

Ushahidi wa upande wa mashitaka ni wa wazi sana. Mawakili wa utetezi wamepwaya sana. Hivyo tuiache mahakama itende haki.
Upi huo? Mbona sioni? Nafuatilia kila siku kwamba labda nitapata, lakini hadi leo sijaona mfano - mawasiliano, vilipuzi na mikakati au matayarisho ya 'kula njama kutendo vitendo vya kigaidi'. Naomba mnisaidie, labda ni mimi tu nashindwa kuelewa vizuri ushahidi unavyojieleza.
 
Nimeangalia majina/ID za waliokupa "like", kwa kweli Tanzania ina "vilaza" wakubwa wengi sana.
 
Kiongozi, mbona mimi sioni hivyo? Mimi focus yangu ni 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi' na hadi leo hii nimeshindwa kuona hivyo au sifuatilii vizuri kesi yenyewe ingawa kila siku jioni natumia kama nusu saa kusoma kilichoandikwa kuhusu mwenendo wa kesi kwa siku husika?
 
Wewe akili yako inatosha kushangilia watawala tu,yanayojadiliwa hapa yako juu sana ya uwezo wako wa kufikiri. Waachie wenye akili timamu wajadili.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nenda kanywe mataputapu,haya ni mambo ya wenye akili timamu tu. Kapu la mjanja mjinga hatii mkono.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Umeandika marefu af hayana maana 😆
 
Jamii ni Nini?!?! Hivi Ni Watanzania wangapi wanafuatilia kesi hii?!
 
Najua Wana CCM wengi ni wapumbavu lakini nchi hii itageuka kioja kama Kila mpumbavu ataanika UPUMBAVU wake hadharani kama wewe.
 
Hiyo siasa unayoiona kwa wengine naona kama unafanya 'projection' - yaani kitu ambacho unacho wewe mwenyewe hukioni na badala yake unakiona kwa wengine wasiyonacho. Hapa 'projection' ni neno nimelitumia kama linavyotumika kwenye psychology.
 
Mawakili wa utetezi siyo kwamba wanapoteza muda.Wanachofanya ni kukusanya kila kitu ambacho anaamua bila kufuata sheria za uendeshaji kesi ili ziwasaidie hapo baadaye,maana inaonekana kabisa jaji anatembea na hukumu ndani ya briefcase.Anachosubiri ni muda tu.
 
Kesi ni ya UGAIDI, lakini toka shahidi wa kwanza mpaka aliyepo Sasa, wote wanaongelea ukamataji, uwekaji mahabusu, kuandika maelezo, kusafrisha washitakiwa, kuharibika kwa gari njiani, kula supu na nyama choma, kunywa MO energy....Sasa shahidi gani ataongelea UGAIDI? Sasa huko ndo kujipanga kwa Jamhuri?
 
wameshindwa mbowe akiwa nje watawezaje akiwa jela? watu ni wanafiki. Hii inaonyesha kuwa wapinzani hawana watu, wanawatumia watu kwa manufaa yao tu ya kupatia ubunge na ruzuku. kama wangekuwa na watu basi pangechimbika. Zuma ana watu, alipokamatwa watu wake walijitokeza.
 
Umeandika ugoro mtupu
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…