Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

Nyie endeleeni na roho mbaya tu, alikuwepo mmoja aliyejiona kuwa mdogo wake Mungu, akanyanyasa na kuua kila aliyeonyesha kupinga maamuzi yake, lakini mpaka muda huu tunazungumza analiwa na funza huko Chato, sasa kwa kuwa mna akili za kuku endeleeni, mtaumiza watu kwa hila ili kufaidi keki ya taifa pasipo kupigiwa kelele, lakini Mungu anayaona na wakati wake ukifika atachukua hatua kali sana!
 

..kingai,na mahita, walieleza kwamba wao sio askari wa kilimanjaro, bali walikwenda huko kwa kazi maalum.

..msemwa alisema mahakamani, chini ya kiapo, kwamba yeye kituo chake ni central police Dsm.

..sasa utetezi wamepata shahidi anayedai kwamba msemwa ameidanganya mahakama, kituo chake siyo central.
 
Wewe ni ccm hivyo huna budi kuongea huo utumbo kwa sababu hii kesi ni ccm vs Chadema na refa na washika vibendera wake wote ni ccm. Sasa hapo unategemea nini. It's a total bullshit.
 
Waupe tu hao,wanajaribu kupulizia kinyesi pafyumu.
 
Mbona hata wewe utaliwa na fuza tena wale weusi na wabaya
 
Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa, kwasababu atainajinsi mahakama. Hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu
Ina maana wewe huamini "kesi inaweza kutengenezwa"?
Nashangaa sana mantiki unayotumia katika kusifu juhudi za hao mawakili wa serikali wanaolazimisha watuhumiwa wakubali kwamba walifikishwa "Central Dar" na wala hawajawahi fika Tazara hata Mbweni.
Inaonekana akili zako zimepinda kuamini uongo unaojionyesha wazi wenyewe.
 

Vingapi Jaji amepewa maelekezo na Kuwasaidia? Unaona Mawakili wa serikali wana akili? Wanasimama kabisa mahakamani na kujitamba wao ni mawakili wa serikali hivyo automatically wanaiwakilisha mahakama wanamaanisha nini?

Jaji hii kesi imeshakuwa ngumu ndio maana kila kitu anaahirisha hata alicho kitolea maamuzi anaki ahirisha.

Kuhusu Dispatch Book Shahidi Jana aliongea vizuri na Tulisoma hapa Lakini Jaji kwa Makusudi Hakuandika. Leo kaulizwa anasema haoni! haoini wakati Shahidi alisema
 
Kama wakili wenu ni Mallya mnategemea kitu kweli..?Mallya anaenda mahaka
ani akiwa amelewa mbega kumtetea Mbowevaliyopo jela..wewe unategemea nini kitatokea?
 
Mungu ndio hakimu mkuu. Majaji duniani wasipotenda haki Mungu huwaadhibu kwa namna ya ajabu kabisa wakiwa hapahapa duniani.
Kesi hii tunaona kabisa jinsi ambavyo haina haki wala usawa. Jaji anaelemea Misri
“Criminals do not die by the hands of the law. They die by the hands of other men.”
― George Bernard Shaw, Man and Superman
 
Tatizo ni jaji.kwanini ameruhusu haya yatokee mahakamani?mawakili wa serikali walidhani pale oysterbay ni shimoni kiasi kwamba Msemwa alikuwa haonekani akiwa kazini hapo?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe utopolo ni nani hapo ameweka pingamizi? Ni mawakili wa Mbowe? Mida ya kuumbuliwa sasa imefika, inakuaje huyo Msemwa awe Oysterbay halaf wakati huohuo awe yupo central police? Sijui hata unaelewa nini kinaendelea...🚮🚮🚮
“Criminals do not die by the hands of the law. They die by the hands of other men.”
― George Bernard Shaw, Man and Superman

Mbowe haponi hata kama mkimpeleka mkewe kama shahidi
 
Wewe mwenyewe ndio muhalifu no.1
 
Kwako wewe haki ni kina Mbowe kushinda!!

Ushahidi wa upande wa mashitaka ni wa wazi sana. Mawakili wa utetezi wamepwaya sana. Hivyo tuiache mahakama itende haki

Mkuu, nami kila nikifikiria kwa ushahidi ambao mpaka sasa umeshatoka, sioni kabisa kesi inayofanana na huo UGAIDI. Labda kama kuna USHAHIDI utakaotolewa huko mbele, ambao utakuwa tofauti kabisa na hayo tuliyoyasikia!
Kama master mind wa ukamataji Kingai ameshatoa ushaidi wake pumba, unategemea Nani mwingine aje atoe ushaidi wa kueleweka?? Hapo sasahivi ni mwendo wa maigizo na vichekesho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…