Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Yaani Jaji utumie gari ya Serikali tena vii eitee, nyumba ya Serikali, mshahara wa Serikali, dereva wa Serikali, matibabu ya Serikali afu Kesi iliyoletwa na Serikali hiyo hiyo uidondoshe - hiiiiiiii
 
Jaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaa
 
Dah... Huyu Jaji huyu!! Sijui! Tuombe uzima tu.
 
Duh! Hatari sana.
 
Tulijua mapema hii kwamba Jaji hayuko kwa ajili ya sheria kufatwa. Yuko ili awapemdezeshe walio mpa hii nafasi. Ni aibu kwa mahakama. Ni aibu kwa chombo cha kutoa haki.
Wako wapi kina Jaji Nyalali?? Wako wapi kina Jaji Kisanga? Yaani mahakama za Tanzania zimekuwa kama polisi. No justace.
 
Jaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaa
Halafu akishasoma hukumu aliyoiandaa kinafuata nini
 
Jaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaa
yaani kifupi ni kwamba Mbowe atafungwa tu, ila sasa hatujui ni kufungo cha miaka mingapi na CDM itafutwa as results - sasa kukata story short aamue moja, badala hii nenda rudi kila siku mahakamani kwa kesi ambayo maamuzi yake ni lazima yapitiwe na Jaji kiongozi, TISS na vigogo wa CCM kabla ya kusomwa, sasa unategemea nini hapo.

Na ndiyo maana sasa hivi wameiacha CDM inaandikisha wanachama wapya kidigitali kote nchini bila bugudha sababu wanajua nini kitafuata. Sasa ukishaifuta CDM hadi upate chama kingine utahitaji miaka 20 mininge tena - CCM huku ikitawala watakavyo sababu Tanzania ni yao.

Naihurumia sana nchi yangu Tanzania.
 
Shetani hajawahi kumshinda Allah..Subhannah”” Wataalah..!
 
Bora waendelee tuone utumbo wa uongozi huu na uliopita. Hamna atakaye kua juu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…