Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu ulitaka ajitetee wapi?Mbowe alifanya makosa sana kukubali kujitetea kwenye hizi mahakama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulitaka ajitetee wapi?Mbowe alifanya makosa sana kukubali kujitetea kwenye hizi mahakama.
Jaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaaKesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
Leo Jamhuri inaendelea na shahidi yule yule Jumanne Malangahe.
Kuwa nami.
========
Jaji ameingia
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa
Robert Kidando anatambulisha Jopo la mawakili wa serikali..
Peter Kibatala anatambulisha Jopo la mawakili wa utetezi..
Jaji anaita washtakiwa wote wanne na wote wanaitika wapo...
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Shauri limekuja kwa jili ya Kusikiliza Uamuzi wa Mahakama na tupo tayari kwa ajili ya yote
Jaji: Utetezi
Wakili Peter Kibatala: Na sisi tupo tayari kwa ajili ya Ruling
Jaji: Jana Mahakama ilihairisha Shauri hili na Maamuzi yapo tayari
Jaji: Maamuzi haya Madogo yamekuja baada ya Upande wa Utetezi Kupinga Kielelezo Cha Hati ya Kukamata Mali, Ambapo ASP Jumanne aliyekuwa Kwenye Timu ya Kuwakamata washitakiwa huko Rau Madukani, Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro
Na alikuwa anatoa Ushahidi, Katikati ya Ushahidi wake aliomba kutoa Kielelezo Cha Hati ya Kukamata Mali, Na Mawakili wa Utetezi Wakapinga, Kwa kuanzia na Wakili Nashon Nkungu na wengine wote.
Na Kwamba Kifungu namba 38 (3) Ndiyo I naelekeza Namna ya Kuchukua Mali, Na Kwamba Hati hiyo ni ya Kisheria na lazima Sheria ifuatwe. Na Kwamba Upande wa Mashtaka hawakuomba Nafasi ya Kutibu Mapungufu.
Jaji: Hoja zao ilikuwa kwamba Kielelezo ambacho Kilikuwa kinaenda Kutolewa hapa Mahakamani na Kilikuwa tayari kimeshafanyiwa Utambuzi. Kwa Mujibu wa Maelezo Yaliyitolewa ni kwamba hakuna Kifungu cha 38 kilicho fanyiwa Marekebisho Mwaka 2018, na Kwamba hatuna Sheria hiyo
Jaji: Na Kwamba Kesi Nyingine ya Mahakama Kuu Chini ya Jaji Malimbe Yapo Maamuzi Kwamba Kuto Kurejea Vizuri Vifungu Vya Sheria kunaathiri Kesi, Na Kwamba tutupilie Mbali kwa kutumia Kanuni ya Overriding Principle, Hizo ndiyo zilikuwa hoja In chief kwa Upande wa Utetezi
Jaji: Na Kesi Ya Mwenderosi katika Mahakama Ya Rufaa, Kwamba Overriding Principle haitaji Kuachiwa kwakuwa itaharibu kabisa Mwenendo wa Kesi, Wakaomba Mahakama itumie Maamuzi ya Mahakama Kuu kutupilia Mbali.
Au anaweza Kurejea Sura ya Sheria hiyo, Kina Inavyoonekana Katika Sheria hiyo, Wao wanasema Kielelezo Kimekidhi Vigezo cha Sheria hiyo kwa Sababu imetajwa Jina la Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Wametaja Mwaka, Wametaja Sura,
Jaji: Kwa Upande wa Mashitaka Walikawakilishwa na Robert Kidando na Pius Hila, Hoja zao ilikuwa Wa naomba Mahakama iongozwe na Sheria ya Tafsiri ya Sheria chini ya Kifungu cha 20 (1) kwamba Mtu anaweza Kurejea kwa Kifupi, Mtu anaweza Kurejea Mwaka au Namba ya Sheria
Jaji: Na Kwa mujibu Wa sheria wamekiri ni kweli hakuna marekebisho ya sheria hiyo, hapakuwa na marekebisho ya kifungu hicho mwaka 2018, Na pamoja na kutorekebishwa kwa kifungu hicho lakini sheria yenyewe iliwahi kurekebishwa
Admisive, Kielelezo ni Competence na Kwamba Kielelezo ni Relevance. Kwa Mambo hayo, Pingamizi, hayaonyeshi Kwamba Kielelezo hicho kimekosa Sifa hizo
Kwa Maana hiyo Mahakama Itupilie Mbali Pingamizi Hilo. Na Kwa namna hiyo Wameomba Mahakama Irejee Kesi ya Athuman Sharif iliyoketi Katika Mahakama Ya Rufaa ya Rufani ambapo Kesi hiyo ilitaja Kanuni tatu za Kufuata Na Kwamba Wameomba Kielelezo hicho Kichukuliwe Kama Shahidi ni
Jaji: Na Pamoja na Kutorekebishwa Kifungu hicho lakini Sheria Ya yenyewe uliwahi Kurekebishwa, Maamuzi yaloyorejewa Kwa Upande wa Kesi Ya Mwenderosi haishahabiani na Kesi iliyopo Mahakamani kwakuwa Kesi ya Mwenderosi ilikuwa ni Juu ya Kukosekana kwa Barua ilikuwa Kwenye kesi hiyo.
Wakati Nyaraka hiyo ilikuwa ni ya lazima, Na Kwamba Kesi hiyo ni Tofauti na Kesi hii, Kuhusu Kesi ya John Marco Na Malimbe ni kwamba Kesi hiyo ilikuwa inahusu Maombi ya Nyaraka ya Kesi iliyopo Mahakamani Wakati Kesi hii kinacho zungumza ni Kurejewa tofauti kwa Sheria tofauti
Jaji: Na Kwa sababu hiyo Kielelezo Kinatupeleka kupokelewa, Na Kwamba Siyo Sheria Moja tu ambayo imetejwa katika Kielelezo Bali pia Kuna Sheria ya The Police Force and auxiliary Act, Na Kwamba Mahakama Itupilie Mbali pingamizi hilo
Na Kwamba Wamesahau Kwa Makusudi Kusoma Kifungu cha 20 (3,) kwamba Sheria inapaswa Kurejewa Kama ambavyo imepigwa na Mpiga Chapa wa Serikali, Mahakama ufahamu kwamba Kifungu cha 35 kuwa inapaswa Kusomwa Kwa Pamoja Kifungu cha 38 na Kwamba Vifungu hivyo Vinafanya Kazi kwa pamoja
Jaji: Kwa Upande wa Utetezi Walikuja na Ufafanuzi wa Kifungu hicho cha Sheria, Wao hawapingi Kifungu Cha Sheria ya Tafsiri ya Sheria, Na Kwamba Kifungu hicho Kipo Upande wao, Na Kwamba Wao Marejeo yao hayarejei Kurejea Kwa Ukamilifu kama Sheria Inavyotaka
Marejeo ya Kesi Kwa Ujumla, KESI YA MWENDEROSI inatoa Kanuni ambayo Mahakama hii naiomba kuitumia, Na Kwa sababu Ilitakiwa Irejee kwa Mujibu wa Sheria ambayo Ilitakiwa Kuwa Ipo, Basi wa naomba Mahakama ikatae Nyaraka hiyo, Kimsingi hizo ndizo hoja za Pamoja nimejitahidi Kufupisha
Jaji: Na Kwamba Kukosewa Kwa Sheria Moja hakuiganyi Nyaraka hiyo kuwa hai, Hawakuomba Mahakama Irekebishe Kabla, na Kwamba Kurekebisha wakati Nyaraka Ipo Mahakamani Haikubaliki hata Kidogo, Hawana eleza Kwamba Wametumia Short title, Kwamba wanatumia Namba na Sura
Jaji: Kwa Pamoja kuna Hoja ambazo haina Ubishi, Pingamizi lilikuwa la Moja kwa Moja, Kwamba Nyaraka haiku nukuu Sheria Kwa Ukamilifu, Na wameitambua Wakati wa Kutaka Kuingizwa, Mambo waliyoongea kwa Upande Mashtaka ni Mambo ya Statutory na siyo Hoja ya Msingi iliyopo Mbele yake
Sheria inatoa Namna ambavyo Sheria za Nchi yetu zinaweza Kutafsiriwa. Na Kifungu cha 38 na Kifungu cha 35 Ndiyo zinatoa namna ya Kuchukua Mali kwa Mtuhumiwa. 38(3) inatoa Umuhimu wa Kuchukua Hati ya Kukamata Mali
Jaji: Niwapongeze mawakili wote ambao wameisaidia Mahakama kufika maamuzi yake, Na kwa sababu hiyo nitajitahidi kwenda kwenye hoja ambazo zinahusu pingamizi na hoja ambazo sijazitumia sijazipuuza Hapana, Kwa kuanza pande zote mbili wanakubaliana Kwa 20(1) ya Sheria ya Tafsiri ya
Nimeona Mahakama iemde Moja kwa Moja kwenye Fomu hiyo, Kama ambavyo imeandikwa Kwa Lugha ya Kiswahili, Imeandikwa Hati ya Kuchukua Mali, Na Kwamba Imetolewa kwa Kifungu cha 38 na Kifungu cha 35 cha Sheria ya Polisi na Polisi wasaidizi, Iliyorekebishwa Mwaka 2018
Jaji: Lakini haijapingwa kwamba Ni takwa Kisheria Kwamba Fomu hiyo ni lazima ikidhi Kisheria, Ambapo Pande zote Mbili wamekubalina, Na mimi naona hivyo, Niende Moja kwa Moja kwenye Pingamizi, Pingamizi hili linaonyesha Kwamba Sheria ambayo imenukuliwa na Kwamba imekosewa Kurejewa
Kitu ambacho nimepata Kwenye kamusi hiyo ni Neno REKEBISHA, Kwamba ni Adjusted or amended, Which was Adjusted Or was amended, Hivyo kwamba Kilichopo Mbele ya Mahakama Siyo Iliyo Rekebishwa Mwaka 2018,
Mahakama ikasema iendelee na hii sintofahamu?, Mahakama ikaona Hapana ishughulike na neno hili, Mahakama ikapata kamusi ya Kiswahili TUKI Toleo la UDSM la Mwaka 2001, Rekebishwa Siyo Jina 'Waka' Kitenzi ambacho linaweza kusimama pekee yake
Jaji: 2018 Kwamba Ndiyo limeleta Ubishi Mbele ya Mahakama, Imetumika Kama sheria ambayo Imerekebishwa Mwaka 2018, Maana halisi iliyorekebishwa Mwaka 2018 halikuwa imeelezwa inamaanisha nini, Mahakama Ikaona ni Vizuri kama Kweli Sheria hii ilirekebishwa Mwaka 2018,
Jaji: Mahakama inaona Kifungu hicho cha 38 hakikuwahi Kurekebisha Mwaka 2018 Bali Kuna Ushahidi Wa Kutosha ambapo Sheria hiyo ilirekebishwa l Mwaka 1993, Na Wote tunakubaliana kwamba imekosewa Kurejewa Kimakosa, Sasa baada ya kurejea Sheria hiyo Kimakosa nini Kinafuatia??
Jaji: Ni wazi kwamba sheria inapokuwa imekosewa kurejewa katika Kesi ya MALIMBE kwamba nyaraka ambayo imekosewa inakuwa DEFECTIVE inakosa nguvu za kisheria. Na kubaliana kwa Pamoja Na Maamuzi ya JOHN MARCO Na Kwamba huo ndiyo Msimamo wa Sheria.
Kutoa Maagizo Juu ya mamlaka, Maombi Kama haya yalilejewa Katika Maombi ya Jinai namba 3 ya Mwaka 2012, Imeelezwa Kwamba Pale ambapo Kunakosewa Kurejea Sheria Vizuri Kunifanya na Kuinyima Mahakama Kufanya Maombi Mahakama.
Jaji: Na kwamba kanuni hiyo kwamba kukosa nguvu Kwa Nyaraka inafanya Ife maamuzi hayo hayaingii kote bali kuna sehemu mbalimbali, Mahakama Imeona Kwamba Yapo Maamuzi ya Mahakama Ya Rufani Kwamba Kukosewa Kurejea Sheria Mbalimbali Kunifanya MAHAKAMA kutoa Nafuu kwenye Kesi hiyo na
kwa Mazingira ya Kesi ya JOHN MARCO ni Tofauti kabisa na Kesi iliyopo Mbele yetu, Mahakama Inapofanya Maamuzi iangalie haki zaidi, Mahakama Imeamua Kuangalia Mapungufu Yanayokuja na Masuala ya Kisheria
Yametajwa Vizuri Kwenye Rejea ya Kesi ya SAIDI KINDAMBA dhidi Ya Jamhuri na Maamuzi ya Seleman Abdallah Dhidi Ya Jamhuri, Ambapo Kote walieleza kwamba Dhumuni la Nyaraka ni CERTIFICATE OF SEIZURE ni Malengo yanayotofautiana, Kwa Maana hiyo na kubaliana na na Upande wa mashitaka
Jaji: Nyaraka yoyote ambayo inafanya MOTION ya kuomba Mahakama ifanye Maamuzi Inafanya Mahakama Ifanye Maamuzi, Na Kwamba Nyaraka Iliyopo Mahakamani siyo Nyaraka Inayofanya MAOMBI Mahakamani, MAZINGIRA haya ni Tofauti na Mazingira Niliyoyataja hapa Juu
Sheria Vizuri kumemuathiri Vipi, Kwa Mtizamo huo huo nitaona Kwamba Kwamba Mahakama Kuu kwa kutokurejewa Vizuri kwa Mashtaka kama hakutoonyesha Kumeathiri Vipi, Mahakama hii Inakubali Mambo yafuatayo...
Makosa na ikasema Maneno Yafuatayo.. Majaji katika Maamuzi hayo walisema Maamuzi ya Charles Mwinyichande Dhidi ya Jamhuri na Said Ally Dhidi ya Jamhuri wakasema Kwa sasa Mahakama Imekuwa na Maamuzi tofauti na Kwamba Kwa sasa lazima Mtu aeleze Mtu kwamba kutokurejewa Kwa
Jaji: Ambapo imekuja na Kanuni kwamba Sheria Kunukuliwa Vibaya haitoshi Kwamba KutoKurejea Kwa Sheria hiyo Kunafanya Nyaraka hiyo iwe imekufa, Lazima aeleze ni Kwa namna gani Kwa Kukosewa Kwa Kesi hiyo Kuna fanya Nyaraka hiyo Kuwa Imekufa, Mahakama ya Rufani iliona Kwamba Kuna
Katika hali hiyo basi Mahakama Inaona Katika Shauri hili kwamba Kuwepo Kwa Mwaka 2018 Kimakosa hakujaelezwa kwamba Kunaathiri Vipi Upande wao, Kwa namna hiyo basi natupilia mbali Pingamizi na Mahakama Inapokea Kielelezo Cha Seizure Certificate....
Jaji: Hakuna Ubishi Kwamba Kukosewa Kwa Kurejea Kwa Sheria Kwa Nyaraka Ambayo inaleta Maombi Mahakamani Kunafanana na Seizure Certificate, Katika Mazingira hayo ni wazi Kwamba Kwa Kanuni hiyo ambayo Nyaraka ambazo Kesi Mahakamani lazima zifuate Utaratibu huu
Jaji: Shahidi wenu yupo wapi upande wa mashtaka?
Jaji: naomba sasa shahidi apokee nyaraka hiyo na asome mahakamani.. Shahidi anachukua na kuanza kusoma maelezo yake..
Shahidi Wakati najaza Fomu hii kwa Ukamilifu ndipo alinitajia Majina yake, alimaarufu Adamoo
Wakili wa Serikali: Wakati Unajitambukisha Mwanzoni Unajitambulisha ASP Jumanne Malangahe
Shahidi: kwa Ukamilifu naitwa ASP Jumanne Shaban Malangahe. Kwa Kuandika Kwa Kifupi au Kama Sehemu ni Kubwa inatosha naandika yote Matatu, Ni Mimi yule yule..
Wakili wa Serikali: Kwa Mujibu wa Kielelezo hicho hebu elezea Vitu Ulivyo vikamata Adam Kasekwa
Shahidi: Ni Silaha aina ya Luger ikiwa na Magazine yenye Risasi tatu
Ushahidi lazima upokelewe hapo..ngoja tuendelee kumsikiliza judge.
Uviko. Tupo wengi mkuu ngoja tuone kama kuna welediLeo hii ndo nitajua tuna mahakama lahasha...maana staki Kula chochote mpaka nione
Tayari uliyoyawaza yametimia huko judge kashatupilia mbali pingamiziLeo hii ndo nitajua tuna mahakama lahasha...maana staki Kula chochote mpaka nione
Hatari sana, kama taifa tumepatwa na msiba.Kesho Polisi anaweza kumuonya mtuhumiwa kwa kutumia sheria ya mazingira na bado mahakama ikapokea maelezo ya onyo.
Duh! Hatari sana.Kuna mtu alisema toka mwanzo kuwa huyo jaji atasema kuwa mazingira ya kesi nyingine zote ziluzorehewa yalikuwa mazingira tofauti, na ndicho alichofanya.
Niliwaambia toka mwanzo, kwenye kesi hii, hakuwezi kupatikana haki yoyote kwa sababu Serikali ndiyo inashtaki, maafisa wa TISS waliopo mahakamani ndio wanaopangwa kuisikiliza.
Kwa wasiofahamu ni kuwa marehemu Magufuli alimteua afisa wa Wasiojulikana kuwa msajili wa mahakama kwa lengo maalum. Lengo kubwa ni kuhakikisha zile kesi ambazo serikali inataka kuwakomoa watu, jaji atakayesikiliza ni lazima awe afisa wa Wasiojulikana.
Fikiria sasa hivi, jaji mkuu TISS, msajili wa mahakama TISS, Jaji kiongozo TISS. Sasa hivi management yote ya judiciary ipo chini ya Wasiojulikana. Hata ikitokea Mbowe akashinda kwenye kesi, msije mkadanganyika na kujipongeza, Wasuojulikana watakuwa wameamua iwe hivyo kwa lengo fulani.
Hata hukumu ya Sabaya siyo ya kufurahia, aliyehukumu ni afisa wa Wasiojulikana, lakini siyo kwa mfumo huru wa mahakama.
Nilisema jana jaji atachochora na "oxygen principle"
Kwamba kukosewa mwaka haiathiri haki yoyote
Tulijua mapema hii kwamba Jaji hayuko kwa ajili ya sheria kufatwa. Yuko ili awapemdezeshe walio mpa hii nafasi. Ni aibu kwa mahakama. Ni aibu kwa chombo cha kutoa haki.Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
Leo Jamhuri inaendelea na shahidi yule yule Jumanne Malangahe.
Kuwa nami.
========
Jaji ameingia
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa
Robert Kidando anatambulisha Jopo la mawakili wa serikali..
Peter Kibatala anatambulisha Jopo la mawakili wa utetezi..
Jaji anaita washtakiwa wote wanne na wote wanaitika wapo...
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Shauri limekuja kwa jili ya Kusikiliza Uamuzi wa Mahakama na tupo tayari kwa ajili ya yote
Jaji: Utetezi
Wakili Peter Kibatala: Na sisi tupo tayari kwa ajili ya Ruling
Jaji: Jana Mahakama ilihairisha Shauri hili na Maamuzi yapo tayari
Jaji: Maamuzi haya Madogo yamekuja baada ya Upande wa Utetezi Kupinga Kielelezo Cha Hati ya Kukamata Mali, Ambapo ASP Jumanne aliyekuwa Kwenye Timu ya Kuwakamata washitakiwa huko Rau Madukani, Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro
Na alikuwa anatoa Ushahidi, Katikati ya Ushahidi wake aliomba kutoa Kielelezo Cha Hati ya Kukamata Mali, Na Mawakili wa Utetezi Wakapinga, Kwa kuanzia na Wakili Nashon Nkungu na wengine wote.
Na Kwamba Kifungu namba 38 (3) Ndiyo I naelekeza Namna ya Kuchukua Mali, Na Kwamba Hati hiyo ni ya Kisheria na lazima Sheria ifuatwe. Na Kwamba Upande wa Mashtaka hawakuomba Nafasi ya Kutibu Mapungufu.
Jaji: Hoja zao ilikuwa kwamba Kielelezo ambacho Kilikuwa kinaenda Kutolewa hapa Mahakamani na Kilikuwa tayari kimeshafanyiwa Utambuzi. Kwa Mujibu wa Maelezo Yaliyitolewa ni kwamba hakuna Kifungu cha 38 kilicho fanyiwa Marekebisho Mwaka 2018, na Kwamba hatuna Sheria hiyo
Jaji: Na Kwamba Kesi Nyingine ya Mahakama Kuu Chini ya Jaji Malimbe Yapo Maamuzi Kwamba Kuto Kurejea Vizuri Vifungu Vya Sheria kunaathiri Kesi, Na Kwamba tutupilie Mbali kwa kutumia Kanuni ya Overriding Principle, Hizo ndiyo zilikuwa hoja In chief kwa Upande wa Utetezi
Jaji: Na Kesi Ya Mwenderosi katika Mahakama Ya Rufaa, Kwamba Overriding Principle haitaji Kuachiwa kwakuwa itaharibu kabisa Mwenendo wa Kesi, Wakaomba Mahakama itumie Maamuzi ya Mahakama Kuu kutupilia Mbali.
Au anaweza Kurejea Sura ya Sheria hiyo, Kina Inavyoonekana Katika Sheria hiyo, Wao wanasema Kielelezo Kimekidhi Vigezo cha Sheria hiyo kwa Sababu imetajwa Jina la Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Wametaja Mwaka, Wametaja Sura,
Jaji: Kwa Upande wa Mashitaka Walikawakilishwa na Robert Kidando na Pius Hila, Hoja zao ilikuwa Wa naomba Mahakama iongozwe na Sheria ya Tafsiri ya Sheria chini ya Kifungu cha 20 (1) kwamba Mtu anaweza Kurejea kwa Kifupi, Mtu anaweza Kurejea Mwaka au Namba ya Sheria
Jaji: Na Kwa mujibu Wa sheria wamekiri ni kweli hakuna marekebisho ya sheria hiyo, hapakuwa na marekebisho ya kifungu hicho mwaka 2018, Na pamoja na kutorekebishwa kwa kifungu hicho lakini sheria yenyewe iliwahi kurekebishwa
Admisive, Kielelezo ni Competence na Kwamba Kielelezo ni Relevance. Kwa Mambo hayo, Pingamizi, hayaonyeshi Kwamba Kielelezo hicho kimekosa Sifa hizo
Kwa Maana hiyo Mahakama Itupilie Mbali Pingamizi Hilo. Na Kwa namna hiyo Wameomba Mahakama Irejee Kesi ya Athuman Sharif iliyoketi Katika Mahakama Ya Rufaa ya Rufani ambapo Kesi hiyo ilitaja Kanuni tatu za Kufuata Na Kwamba Wameomba Kielelezo hicho Kichukuliwe Kama Shahidi ni
Jaji: Na Pamoja na Kutorekebishwa Kifungu hicho lakini Sheria Ya yenyewe uliwahi Kurekebishwa, Maamuzi yaloyorejewa Kwa Upande wa Kesi Ya Mwenderosi haishahabiani na Kesi iliyopo Mahakamani kwakuwa Kesi ya Mwenderosi ilikuwa ni Juu ya Kukosekana kwa Barua ilikuwa Kwenye kesi hiyo.
Wakati Nyaraka hiyo ilikuwa ni ya lazima, Na Kwamba Kesi hiyo ni Tofauti na Kesi hii, Kuhusu Kesi ya John Marco Na Malimbe ni kwamba Kesi hiyo ilikuwa inahusu Maombi ya Nyaraka ya Kesi iliyopo Mahakamani Wakati Kesi hii kinacho zungumza ni Kurejewa tofauti kwa Sheria tofauti
Jaji: Na Kwa sababu hiyo Kielelezo Kinatupeleka kupokelewa, Na Kwamba Siyo Sheria Moja tu ambayo imetejwa katika Kielelezo Bali pia Kuna Sheria ya The Police Force and auxiliary Act, Na Kwamba Mahakama Itupilie Mbali pingamizi hilo
Na Kwamba Wamesahau Kwa Makusudi Kusoma Kifungu cha 20 (3,) kwamba Sheria inapaswa Kurejewa Kama ambavyo imepigwa na Mpiga Chapa wa Serikali, Mahakama ufahamu kwamba Kifungu cha 35 kuwa inapaswa Kusomwa Kwa Pamoja Kifungu cha 38 na Kwamba Vifungu hivyo Vinafanya Kazi kwa pamoja
Jaji: Kwa Upande wa Utetezi Walikuja na Ufafanuzi wa Kifungu hicho cha Sheria, Wao hawapingi Kifungu Cha Sheria ya Tafsiri ya Sheria, Na Kwamba Kifungu hicho Kipo Upande wao, Na Kwamba Wao Marejeo yao hayarejei Kurejea Kwa Ukamilifu kama Sheria Inavyotaka
Marejeo ya Kesi Kwa Ujumla, KESI YA MWENDEROSI inatoa Kanuni ambayo Mahakama hii naiomba kuitumia, Na Kwa sababu Ilitakiwa Irejee kwa Mujibu wa Sheria ambayo Ilitakiwa Kuwa Ipo, Basi wa naomba Mahakama ikatae Nyaraka hiyo, Kimsingi hizo ndizo hoja za Pamoja nimejitahidi Kufupisha
Jaji: Na Kwamba Kukosewa Kwa Sheria Moja hakuiganyi Nyaraka hiyo kuwa hai, Hawakuomba Mahakama Irekebishe Kabla, na Kwamba Kurekebisha wakati Nyaraka Ipo Mahakamani Haikubaliki hata Kidogo, Hawana eleza Kwamba Wametumia Short title, Kwamba wanatumia Namba na Sura
Jaji: Kwa Pamoja kuna Hoja ambazo haina Ubishi, Pingamizi lilikuwa la Moja kwa Moja, Kwamba Nyaraka haiku nukuu Sheria Kwa Ukamilifu, Na wameitambua Wakati wa Kutaka Kuingizwa, Mambo waliyoongea kwa Upande Mashtaka ni Mambo ya Statutory na siyo Hoja ya Msingi iliyopo Mbele yake
Sheria inatoa Namna ambavyo Sheria za Nchi yetu zinaweza Kutafsiriwa. Na Kifungu cha 38 na Kifungu cha 35 Ndiyo zinatoa namna ya Kuchukua Mali kwa Mtuhumiwa. 38(3) inatoa Umuhimu wa Kuchukua Hati ya Kukamata Mali
Jaji: Niwapongeze mawakili wote ambao wameisaidia Mahakama kufika maamuzi yake, Na kwa sababu hiyo nitajitahidi kwenda kwenye hoja ambazo zinahusu pingamizi na hoja ambazo sijazitumia sijazipuuza Hapana, Kwa kuanza pande zote mbili wanakubaliana Kwa 20(1) ya Sheria ya Tafsiri ya
Nimeona Mahakama iemde Moja kwa Moja kwenye Fomu hiyo, Kama ambavyo imeandikwa Kwa Lugha ya Kiswahili, Imeandikwa Hati ya Kuchukua Mali, Na Kwamba Imetolewa kwa Kifungu cha 38 na Kifungu cha 35 cha Sheria ya Polisi na Polisi wasaidizi, Iliyorekebishwa Mwaka 2018
Jaji: Lakini haijapingwa kwamba Ni takwa Kisheria Kwamba Fomu hiyo ni lazima ikidhi Kisheria, Ambapo Pande zote Mbili wamekubalina, Na mimi naona hivyo, Niende Moja kwa Moja kwenye Pingamizi, Pingamizi hili linaonyesha Kwamba Sheria ambayo imenukuliwa na Kwamba imekosewa Kurejewa
Kitu ambacho nimepata Kwenye kamusi hiyo ni Neno REKEBISHA, Kwamba ni Adjusted or amended, Which was Adjusted Or was amended, Hivyo kwamba Kilichopo Mbele ya Mahakama Siyo Iliyo Rekebishwa Mwaka 2018,
Mahakama ikasema iendelee na hii sintofahamu?, Mahakama ikaona Hapana ishughulike na neno hili, Mahakama ikapata kamusi ya Kiswahili TUKI Toleo la UDSM la Mwaka 2001, Rekebishwa Siyo Jina 'Waka' Kitenzi ambacho linaweza kusimama pekee yake
Jaji: 2018 Kwamba Ndiyo limeleta Ubishi Mbele ya Mahakama, Imetumika Kama sheria ambayo Imerekebishwa Mwaka 2018, Maana halisi iliyorekebishwa Mwaka 2018 halikuwa imeelezwa inamaanisha nini, Mahakama Ikaona ni Vizuri kama Kweli Sheria hii ilirekebishwa Mwaka 2018,
Jaji: Mahakama inaona Kifungu hicho cha 38 hakikuwahi Kurekebisha Mwaka 2018 Bali Kuna Ushahidi Wa Kutosha ambapo Sheria hiyo ilirekebishwa l Mwaka 1993, Na Wote tunakubaliana kwamba imekosewa Kurejewa Kimakosa, Sasa baada ya kurejea Sheria hiyo Kimakosa nini Kinafuatia??
Jaji: Ni wazi kwamba sheria inapokuwa imekosewa kurejewa katika Kesi ya MALIMBE kwamba nyaraka ambayo imekosewa inakuwa DEFECTIVE inakosa nguvu za kisheria. Na kubaliana kwa Pamoja Na Maamuzi ya JOHN MARCO Na Kwamba huo ndiyo Msimamo wa Sheria.
Kutoa Maagizo Juu ya mamlaka, Maombi Kama haya yalilejewa Katika Maombi ya Jinai namba 3 ya Mwaka 2012, Imeelezwa Kwamba Pale ambapo Kunakosewa Kurejea Sheria Vizuri Kunifanya na Kuinyima Mahakama Kufanya Maombi Mahakama.
Jaji: Na kwamba kanuni hiyo kwamba kukosa nguvu Kwa Nyaraka inafanya Ife maamuzi hayo hayaingii kote bali kuna sehemu mbalimbali, Mahakama Imeona Kwamba Yapo Maamuzi ya Mahakama Ya Rufani Kwamba Kukosewa Kurejea Sheria Mbalimbali Kunifanya MAHAKAMA kutoa Nafuu kwenye Kesi hiyo na
kwa Mazingira ya Kesi ya JOHN MARCO ni Tofauti kabisa na Kesi iliyopo Mbele yetu, Mahakama Inapofanya Maamuzi iangalie haki zaidi, Mahakama Imeamua Kuangalia Mapungufu Yanayokuja na Masuala ya Kisheria
Yametajwa Vizuri Kwenye Rejea ya Kesi ya SAIDI KINDAMBA dhidi Ya Jamhuri na Maamuzi ya Seleman Abdallah Dhidi Ya Jamhuri, Ambapo Kote walieleza kwamba Dhumuni la Nyaraka ni CERTIFICATE OF SEIZURE ni Malengo yanayotofautiana, Kwa Maana hiyo na kubaliana na na Upande wa mashitaka
Jaji: Nyaraka yoyote ambayo inafanya MOTION ya kuomba Mahakama ifanye Maamuzi Inafanya Mahakama Ifanye Maamuzi, Na Kwamba Nyaraka Iliyopo Mahakamani siyo Nyaraka Inayofanya MAOMBI Mahakamani, MAZINGIRA haya ni Tofauti na Mazingira Niliyoyataja hapa Juu
Sheria Vizuri kumemuathiri Vipi, Kwa Mtizamo huo huo nitaona Kwamba Kwamba Mahakama Kuu kwa kutokurejewa Vizuri kwa Mashtaka kama hakutoonyesha Kumeathiri Vipi, Mahakama hii Inakubali Mambo yafuatayo...
Makosa na ikasema Maneno Yafuatayo.. Majaji katika Maamuzi hayo walisema Maamuzi ya Charles Mwinyichande Dhidi ya Jamhuri na Said Ally Dhidi ya Jamhuri wakasema Kwa sasa Mahakama Imekuwa na Maamuzi tofauti na Kwamba Kwa sasa lazima Mtu aeleze Mtu kwamba kutokurejewa Kwa
Jaji: Ambapo imekuja na Kanuni kwamba Sheria Kunukuliwa Vibaya haitoshi Kwamba KutoKurejea Kwa Sheria hiyo Kunafanya Nyaraka hiyo iwe imekufa, Lazima aeleze ni Kwa namna gani Kwa Kukosewa Kwa Kesi hiyo Kuna fanya Nyaraka hiyo Kuwa Imekufa, Mahakama ya Rufani iliona Kwamba Kuna
Katika hali hiyo basi Mahakama Inaona Katika Shauri hili kwamba Kuwepo Kwa Mwaka 2018 Kimakosa hakujaelezwa kwamba Kunaathiri Vipi Upande wao, Kwa namna hiyo basi natupilia mbali Pingamizi na Mahakama Inapokea Kielelezo Cha Seizure Certificate....
Jaji: Hakuna Ubishi Kwamba Kukosewa Kwa Kurejea Kwa Sheria Kwa Nyaraka Ambayo inaleta Maombi Mahakamani Kunafanana na Seizure Certificate, Katika Mazingira hayo ni wazi Kwamba Kwa Kanuni hiyo ambayo Nyaraka ambazo Kesi Mahakamani lazima zifuate Utaratibu huu
Jaji: Shahidi wenu yupo wapi upande wa mashtaka?
Jaji: naomba sasa shahidi apokee nyaraka hiyo na asome mahakamani.. Shahidi anachukua na kuanza kusoma maelezo yake..
Shahidi kamaliza kusoma maelezo yake..
Wakili wa Serikali: Shahidi Kwa Mujibu wa Fomu hiyo, Hati ya Kukamatia Mali ilikuwa inamhusu nani?
Shahidi: Adam Kasekwa Alimaarufu Adamoo
Wakili wa Serikali: Wakati Unatoa Ushahidi Wako Mwanzoni Ulisema Unampekua Mtu anaitwa Adam Kasekwa Je Adamoo inatoka wapi
Shahidi: Wakati najaza Fomu hii kwa Ukamilifu ndipo alinitajia Majina yake, alimaarufu Adamoo
Wakili wa Serikali: Wakati Unajitambukisha Mwanzoni Unajitambulisha ASP Jumanne Malangahe
Shahidi: kwa Ukamilifu naitwa ASP Jumanne Shaban Malangahe. Kwa Kuandika Kwa Kifupi au Kama Sehemu ni Kubwa inatosha naandika yote Matatu, Ni Mimi yule yule..
Wakili wa Serikali: Kwa Mujibu wa Kielelezo hicho hebu elezea Vitu Ulivyo vikamata Adam Kasekwa
Shahidi: Ni Silaha aina ya Luger ikiwa na Magazine yenye Risasi tatu
Shahidi: Kwa Mujibu Wa Sheria ya Mwenendo Wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 iliyorekebishwa Mwaka 2018 Na Chini ya Sheria ya Polisi na Polisi wasaidizi Iliyo fanyiwa Marekebisho Mwaka 2002
Shahidi: Simu na Laini za Simu Ni sababu Ya Kufuatilia na Kupata Ushahidi Wa Mawasiliano ya Miamala ya Fedha au Mawasiliano ya Ujumbe wa Simu ambao ungeweza Kusaidia Katika Upelelezi
Wakili wa Serikali: Na Upekuzi huo Ulifanya kwa Sheria gani
Nchi haina tatizo mkuu, tatizo ni hawa watawala koko wa hovyo hovyo yaani hadi hasira.Hii nchi hii
Jana kuna kitu niliandika humu kuhusu hii kesi..niliishia kudhihakiwa tu.ila mwisho wa hii kesi kuna upande watalia sana..Dah... Huyu Jaji huyu!! Sijui! Tuombe uzima tu.
Halafu akishasoma hukumu aliyoiandaa kinafuata niniJaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaa
yaani kifupi ni kwamba Mbowe atafungwa tu, ila sasa hatujui ni kufungo cha miaka mingapi na CDM itafutwa as results - sasa kukata story short aamue moja, badala hii nenda rudi kila siku mahakamani kwa kesi ambayo maamuzi yake ni lazima yapitiwe na Jaji kiongozi, TISS na vigogo wa CCM kabla ya kusomwa, sasa unategemea nini hapo.Jaji kishapokea Maelekezo, hii kesi Mbowe afuate ushauri wa Lema, toa MAWAKILI WOTE na Jaji asome Hukumu ambayo kishaindaa
tupa kuleUviko. Tupo wengi mkuu ngoja tuone kama kuna weledi
Tayari uliyoyawaza yametimia huko judge kashatupilia mbali pingamizi
Shetani hajawahi kumshinda Allah..Subhannah”” Wataalah..!Niliwaambia toka mwanzo, kwenye kesi hii, hakuwezi kupatikana haki yoyote kwa sababu Serikali ndiyo inashtaki, maafisa wa TISS waliopo mahakamani ndio wanaopangwa kuisikiliza.
Kwa wasiofahamu ni kuwa marehemu Magufuli alimteua afisa wa Wasiojulikana kuwa msajili wa mahakama kwa lengo maalum. Lengo kubwa ni kuhakikisha zile kesi ambazo serikali inataka kuwakomoa watu, jaji atakayesikiliza ni lazima awe afisa wa Wasiojulikana.
Fikiria sasa hivi, jaji mkuu TISS, msajili wa mahakama TISS, Jaji kiongozo TISS. Sasa hivi management yote ya judiciary ipo chini ya Wasiojulikana. Hata ikitokea Mbowe akashinda kwenye kesi, msije mkadanganyika na kujipongeza, Wasuojulikana watakuwa wameamua iwe hivyo kwa lengo fulani.
Bora waendelee tuone utumbo wa uongozi huu na uliopita. Hamna atakaye kua juu mileleyaani kifupi ni kwamba Mbowe atafungwa tu, ila sasa hatujui ni kufungo cha miaka mingapi - sasa kukata story short aamue moja, badala hii nenda rudi kila siku mahakamani kwa kesi ambayo maamuzi yake ni lazima yapitiwe na Jaji kiongozi, TISS na vigogo wa CCM kabla ya kusomwa, sasa unategemea nini hapo.