Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Naona ulibugia kwa wingi hayo lebaUtapanic sana manka!
Kama vipi kajilipue mbele ya mahakama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ulibugia kwa wingi hayo lebaUtapanic sana manka!
Kama vipi kajilipue mbele ya mahakama
NA NDIYO MAANA SHETANI MBOWE ANAGALAGAZWA HUKO MAHAKAMANI ALIFIKIRI KILA MTU WAKUCHEZEA KILA PINAGAMIZI WANALOWEKA LINASHINDWA HAKUNA WAKILI MSOMI HAPO KINA KIBATALA WACHUMIA TUMBO TUShetani hajawahi kumshinda Allah..Subhannah”” Wataalah..!
UVCCM hebu acheni kutuharibia uzi wetu, nyie ndiyo mtakaokitetea chama cha mapinduzi kama maneno yenu ni haya.NA NDIYO MAANA SHETANI MBOWE ANAGALAGAZWA HUKO MAHAKAMANI ALIFIKIRI KILA MTU WAKUCHEZEA KILA PINAGAMIZI WANALOWEKA LINASHINDWA HAKUNA WAKILI MSOMI HAPO KINA KIBATALA WACHUMIA TUMBO TU
mbowe ni shetani tu hata kama unampenda alitaka kuharibu nchiyetu gaidiUVCCM hebu acheni kutuharibia uzi wetu, nyie ndiyo mtakaokitetea chama cha mapinduzi kama maneno yenu ni haya.
Mamaye gaidi
sawaMh. kingai tumekusikia, tukutane RAU Madukani basi pale kwa mama pendo tupige mbege kidogo walau mabenga 4 tufurahie ushindi wetu.mbowe ni shetani tu hata kama unampenda alitaka kuharibu nchiyetu gaidi
kibatala badala ya kuhji maswali ya msingi naona yuko busy namaswali ya kitoto sanaHii kesi mbowe hatoboi kwa Hali hii...View attachment 2004413View attachment 2004414
mkuu wewe kama mimi tu huelewi kesi inavyokwenda, twende kwa mama Pendo yule shahidi wetu pale Rau madukani tukapate mbege, nipo vzr leo usijali.kibatala badala ya kuhji maswali ya msingi naona yuko busy namaswali ya kitoto sana
hahahhaaaaa kwa mama pendoo pale rau?mkuu wewe kama mimi tu huelewi kesi inavyokwenda, twende kwa mama Pendo yule shahidi wetu pale Rau madukani tukapate mbege, nipo vzr usijali.
haswaaa chadema ndiyo kiongozi wa mashetanicdiem itakua ndo kiongozi mkuu wa mashetani..
Mtanyooka tu ndiyo muache ugadiHii kesi ni ngumu sana.., maana nahisi nawakili wa serikali pamoja na Jaji wanapata tabu sana juu ya hii kesi. Maana ushahidi unaotolewa ni vigumu sana kuuelewa, iweje mashahidi wale wale waliokuwepo wakati wa ukamataji maelezo yao yatofautiane. Daaah hii Nchi hii, imebaki msemo tu kuwa tuna mihimili mitatu, lakini kimtizamo ni mmoja tu Bunge na Mahakama zinemezwa na Serikali.
Hujafa na Jiwe anakuita usiku huunaielewa chadema ndiyo code zao hizo hata wewe unajuwa ndiyo maana ukawataja mashetani
Kama maazeli yako alivyo shetanimbowe ni shetani tu hata kama unampenda alitaka kuharibu nchiyetu gaidi
mbowe ni shetani tu hata kama unampenda alitaka kuharibu nchiyetu gaidi
Huyu jaji naye hana tofauti na Kingai.Hii kesi mbowe hatoboi kwa Hali hii...View attachment 2004413View attachment 2004414