Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Shetani hajawahi kumshinda Allah..Subhannah”” Wataalah..!
NA NDIYO MAANA SHETANI MBOWE ANAGALAGAZWA HUKO MAHAKAMANI ALIFIKIRI KILA MTU WAKUCHEZEA KILA PINAGAMIZI WANALOWEKA LINASHINDWA HAKUNA WAKILI MSOMI HAPO KINA KIBATALA WACHUMIA TUMBO TU
 
Najiuliza kwa wakili kutetea uongo ukawa ukweli na ukakubalika na mahakama na ikatoa hukumu, Je dhambi hiyo inakwenda kwa nani? maana dhambi haiwezi kusimama yenyewe ni kazima baada ya kitendo kukamilika basi hatia lazima umwangukia muhusika? je atakuwa ni Hakimu / Jaji aliyehukumu kesi, Wakili ama aliyeshitaki uongo huo mahamani?
 
NA NDIYO MAANA SHETANI MBOWE ANAGALAGAZWA HUKO MAHAKAMANI ALIFIKIRI KILA MTU WAKUCHEZEA KILA PINAGAMIZI WANALOWEKA LINASHINDWA HAKUNA WAKILI MSOMI HAPO KINA KIBATALA WACHUMIA TUMBO TU
UVCCM hebu acheni kutuharibia uzi wetu, nyie ndiyo mtakaokitetea chama cha mapinduzi kama maneno yenu ni haya.
 
Hii kesi mbowe hatoboi kwa Hali hii...
FB_IMG_16364634920568953.jpg
FB_IMG_16364634828579285.jpg
 
mkuu wewe kama mimi tu huelewi kesi inavyokwenda, twende kwa mama Pendo yule shahidi wetu pale Rau madukani tukapate mbege, nipo vzr usijali.
hahahhaaaaa kwa mama pendoo pale rau?
 
Hii kesi ni ngumu sana.., maana nahisi nawakili wa serikali pamoja na Jaji wanapata tabu sana juu ya hii kesi. Maana ushahidi unaotolewa ni vigumu sana kuuelewa, iweje mashahidi wale wale waliokuwepo wakati wa ukamataji maelezo yao yatofautiane. Daaah hii Nchi hii, imebaki msemo tu kuwa tuna mihimili mitatu, lakini kimtizamo ni mmoja tu Bunge na Mahakama zinemezwa na Serikali.
 
Mtanyooka tu ndiyo muache ugadi
 
Back
Top Bottom