Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naielewa chadema ndiyo code zao hizo hata wewe unajuwa ndiyo maana ukawataja mashetani
Lana kamili ni guilty consciousness ya alietenda. Hayo yatamkwayo kama hayakuingii akilini mwako na hujutii, hata angevua zote hakuna kitu.Sawa, lakini ukijua laana ya vitendo inamaumivu makubwa kuliko ya maneno na kuandika, imagine mama anayemulaana mtoto kwa kuvua nguo zake na mama anayeongee tu nimekulaani ni laana ipi itakuwa na nguvu? Na ndicho nilichomaanisha.
Kwani amekutwa na shoka la kukatia miti? Au chainsaw?Watu wanapewa ujaji kwa kujuana tu lakini kiukweli hawana sifa yoyote ya kuwa jaji na lengo lao ni kuwatumia katika mazingira kama haya.
Wanajua wenyewe bwana lakini kumbuka Sugu na Nyagali walifungwa jela bila kosa na hata hawa akina Mbowe and Co walitiwa hatiani pale Kisutu kwa amri za Magufuli.Kwani amekutwa na shoka la kukatia miti? Au chainsaw?
Aliyeharibu nchi ni Yule aliyeamuru uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wapitishwe mboga mboga nchi nzima, na uchaguzi mkuu 2020 bunge liwe la mboga mboga la wapiga makofi, Cha ajabu hajaona matunda aliyoandaa, akatwaliwa na Mwenye enzi asiyetaka upuuzi.mbowe ni shetani tu hata kama unampenda alitaka kuharibu nchiyetu gaidi
Tukio la Lissu kupigwa risasi CCTV camera zilikuwepo, Kwani ilikuwaje? Hakuna hata panya aliyekamatwa!Hata zikiwekwa izo cctv camera hakuna kitakachosaidia,kumbuka umeme wetu haupo stable
Machafuko ya kumwondoa Al Bashir yalianzishwa na msichana tu, hii ilitokana na hasira ya muda mrefu kurundikana kwa watu. Usione hasira dhidicya CCM inarundikana, na ikaja kuwashwa na tukio dogo tu la mkate! Usifurahie hali hii na kuishabikia.Sawa, lakini ukijua laana ya vitendo inamaumivu makubwa kuliko ya maneno na kuandika, imagine mama anayemulaana mtoto kwa kuvua nguo zake na mama anayeongee tu nimekulaani ni laana ipi itakuwa na nguvu? Na ndicho nilichomaanisha.
Wewe leo unaita " hasira za keyboard", hata Rais wa Sudan aliongea Kama wewe. Unazosema hasira za keyboard zilifumuliwa na msichana mdogo tu nchi nzima ikawaka moto. Uvumilivu una mwisho, CCM kwa Sasa wanachekelea udhalimu unaoendelea, inawezekana wakachekelea kwa muda, lakini hasira za keyboard Kuna siku zitafumuliwa na suala dogo na nchi itawaka na hawataamini. Cha msingi ni kutenda haki, Kama mfumo wetu ni wa vyama vingi, vyote vifanye siasa, siyo kimoja kifanye siasa, vingine hata vikifanya jogging, Polisi hawa hapa....hasha, huko mbeleni, tunaelekea shimoni.Hizi huruma za keyboard hazisaidii kitu, Mimi kwa kuwasaidia kama Mbowe wanasingizia tumieni nguvu za kiroho za kupata haki kutoka kwa Mungu chagueni siku tatu za maombolezo au mbili za kumulilia Mungu haki ipatikane wafungwa na wote mtakaojitolea siku hizo msilale vitandani mwenu mtandike mikeka mlale chini kama waombolezaji wa kweli na ikiwezekana chakula kisipite kwenye vinywa vyenu yaani iwe msiba kweli kweli wa kumulilia Mungu atende haki ikiwa kweli hajafanya majibu mtayapata hizo ndo njia watu wa Mungu wanatumia kudai haki na ukweli ukiwa upande wao majibu yatapatikana ila tu ifanyike kwa watu wa familia zaidi bila kelele za mitandao na siasa maana hapa tunaongelea kuleta haki katika Taifa na siyo haki ya Chama flani.
Fukuto la kumwondoa Al Bashir lilianzishwa na msichana mdogo tu nchi nzima ikawaka moto, hii ni kutokana na mrundikano wa hasira wa siku nyingi wa raia. Kwa Sasa CCM wanafurahia udhalimu unaoendelea, nchi ya vyama vingi, lakini siasa wanafanya wao tu, vyama vingine hata vikifanya jogging, Polisi hawa hapa.... sanduku la kura haliheshimiwi, kabla ya kupiga kura, CCM tayari wamepata wabunge 80 bila kupingwa! Mahakama wamejaa majaji wa TISS, haya yote CCM wanachekelea, hawajui wanatupeleka shimoni.Watanzania Japo tuliwahi kuanza kwenda Shule Lakini nafikiri kuna kitu tunakosa.
Sahizi akina Mbowe tunawaona kama Hamnazo hivi, lakini Nina amini Ipo siku tutakumbuka Mapambano Yao. Na mungu atuweke hai hichi kizazi kije kishuhudie.
Serikali Ya SISIEMU haiwezi kutuletea maendeleo kwasababu wanajua watanzania tukiendelea, tutawaondoa Madarakani. Kwahiyo wanatumia Mwanya wa Ugumu wa Maisha kutusahulisha na Mabaya yote wanayo yafanya. Siku tukija Kustuka Tutasema Tulichelewa Sanaa. Lakini Tujifunze nchi zingine Tanzania Sisi Sio kisiwa Tutafika iliko Libya, Ethiopia, Na Nchi Nyingine. Siku watanzania Wakija kuamua kuwa wamechoka, Hawata msikiliza Mchungaji wala Shehee
Naamini Ipo siku, kikubwa Tuombe Uzima, Maisha Yawe rahisi Wananchi wengi tumiliki SMARTPHONE
MBOWE MATESO YAKO HAYATAENDA BURE…
Mbona unaharisha sana mkuu? Ni vyema ukamuona Dr usije zidiwa.ni Bora hili Gaidi limedhibitiwa maana linge aachwa lingesababisha hatari kubwa.
mfano mbaya angalia wafuasi wake jinsi walivyo na tabia za kijambazi, wauza madawa, wavuta bangi, yaani ni wakorofi sana, yote hayo walifundishwa na huyo kiongozi wao, ambaye kila kukicha alikuwa naratibu uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbeleni usije ukabadilisha ID. Usizidishe mahaba sana kwenye kesi hii ukidhani kuna mtu atafungwa. Hafungwi mtu hapa. Mahakama za Tanzania haipokei ushahidi wa mashoga na wauza mbege. Shoga Power Kaaya na muuza mbege AnitaPOROJO za LING'WENYA eti anadai alitishiwa silaha [emoji1787][emoji1787]
Tangu lini Sheria inaamuliwa na hisia na bado mnaona Ni sahihi?. Hivi kwanini baadhi ya watanzania ni wapuuzi kiasi hiki?.Tulia ujifunze sheria, usilete ushabiki wa kisiasa kwenye sheria.
Wakiwemo,Katambi,Mashinji,Jualikali,covid 19.....kweli jamaa ni li gaidi nguli kabisa.ni Bora hili Gaidi limedhibitiwa maana linge aachwa lingesababisha hatari kubwa.
mfano mbaya angalia wafuasi wake jinsi walivyo na tabia za kijambazi, wauza madawa, wavuta bangi, yaani ni wakorofi sana, yote hayo walifundishwa na huyo kiongozi wao, ambaye kila kukicha alikuwa naratibu uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungana nasi kumwombea Mh Friman Mbowe siyo gaidiGaidi hana sura babu we subiri hadi mwisho wa picha