Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

nikupoteza muda tu mbowe anatakiwa awe ameshaanza kutumikia miaka yake 30 muda mrefu
Mkuu, sasa mbona jana hukutokea pale kijiweni kwetu kwa mama P, pale Rau Madukani? maana mbege ya jana ilikuwa bomba balaa !!
 
nilikuwa mahaamani nikishuhudia kibatala anavyojambishwa hana jipya keshapanga na kina lissu amfungishe mbowe ili lissu awe mwenyekiti kamili
 
updates za JF kwenye hii kesi zina delay sana, kesi imeanza kitambo lakini hakuna update yeyote humu
 
nilikuwa mahaamani nikishuhudia kibatala anavyojambishwa hana jipya keshapanga na kina lissu amfungishe mbowe ili lissu awe mwenyekiti kamili
kesi fambastic hii kiongozi, aibu kwa jamhuri yetu, hata hivyo jaji anawabeba ila hawabebeki - on my way to Rau Madukani.
 
Ni mwendazake pekee alikuwa na akili za kiboya kama hizi.
Mahakama inaendeshwa kwa taratibu na sheria sio kwa kukurupuka na uwendawazimu.
Hivi ni kweli mahakama inaendeshawa kwa sheria? Mbona juzi kati hapa huyo jaji kakubali kupokea kielelezo ambacho hakiungwi mkono na sheria yoyote? Sheria waliyoinukuu haipo kabisa duniani. Labda mahakama za wenzetu huko walikostaarabika
 
Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
 
Kama refa wa kwenu mtafungwa vipi?
 
View attachment 2005439

Baada ya Mawakili wa Utetezi kuweka pingamizi kuhusu ushahidi wa Afande Jumanne , ikakubaliwa kuwepo kwa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ili kupata majibu halali ya kisheria kutokana utata uliopo .

Kesi hiyo inaendelea leo Mahakamani hapo
Hatari sana. Watu hawaoni haya kutoa ushahidi wa uongo mahakamani
 
Mama anajiharibia sana tena sanaaa.....wazungu wanamuangalia tu siku wakibadilika atawaona wachungu wanamuangalia tu....
 
Back
Top Bottom