Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

Eti mbowe ni gaidi aisee dunia hii ina mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbowe huyu huyu !!!!!!!
 
Siasa za visasi nchi hii vilianza rasmi 2016 wakati wa kumtafuta mrithi wa JK, Vita ikawa kubwa ndani ya CCM, uadui ukawa mkubwa kati ya kambi na kambi. Baada ya CCM kumpa urais waliyempa hali ikawa ni mbaya zaidi, uhasama ukahama toka makundi ya CCM na kurudi kwa raia wote - aliyempiga rais hata kwa mambo ya msingi alikipata anashostahili, vyama vya siasa navyo nikazuiwa kufanya siasa nchini hadi leo wanafanya katika mazingira magumu mno.

Hadi leo kinachoendelea kwa Mh. Mbowe ni mwendelezo wa siasa za chuki na kukomoana. Sina uhakika kama nchi yetu itarudi kwenye upendo na kuheshimiana uliokuwapo tangu enzi zile za mwalimu mpaka hadi 2015 upendo ulipokoma rasmi.
Nimekuelewa sana,namin asilimia kubwa ya wana wa Dunia hii tunaamin mbowe sio Gaidi,ila huyu chifu Hangaya anataka kuiaminisha dunia yakuwa,Mbowe ni gaidi,hizi mahakama zifuata tu atakacho Hangaya
 
Sasa naamini Jaji anamapungufu mengi katika kuweza kuamua yaliyo wazi. Siamini kama ni Jaji wa mahakama kuu huyu.
Kimsingi sio huyo jaji tu. Sehemu kubwa wafanyakazi/watumishi wa serikali ni watu wenye uwezo mdogo. Huyo jaji ni wazi ana uwezo mdogo, hivyo anafanya kinachoifurahisha serikali ili kuficha uwezo wake mdogo. Kwa mazingira yetu hata ukifanya kazi chini ya kiwango, ili mradi unawabeba watawala, madhaifu yako yatafumbiwa macho.
 
Dunia ipi wewe kunguru..
Yaani dunia imfuatilie mmiliki wa chadema baada yakufuata mambo yao
Atakuwa anamaanisha kale kakibanda ka pale mtaa wa ufipa. Kwake hapo ndiyo dunia ilipo. Mambo ya sayari kama ya Earth (Dunia), Mars, Jupiter, Pluto etc atayajulia wapi.
 
Mama anajua hawana ushawishi tena! Na wanaogopa sana upinzani. Kwa hiyo, wanataka kuua upinzani ili kusiwe na namna. Jambo lisilowezekana.
 
Hata mwehu hujiona ana akili
Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
 
Hii ni enzi ya sayansi na tekinolojia. Siyo enzi ya blablaa tu. Tutegemee kwenye hiyo trial within trial kuoneshwa CCTV footages, Voice clips na video clips za Ling'wenya akiingia Central Police na kutoa confession yake bila shuruti lo lote.
 
Siasa za visasi nchi hii vilianza rasmi 2016 wakati wa kumtafuta mrithi wa JK, Vita ikawa kubwa ndani ya CCM, uadui ukawa mkubwa kati ya kambi na kambi. Baada ya CCM kumpa urais waliyempa hali ikawa ni mbaya zaidi, uhasama ukahama toka makundi ya CCM na kurudi kwa raia wote - aliyempiga rais hata kwa mambo ya msingi alikipata anashostahili, vyama vya siasa navyo nikazuiwa kufanya siasa nchini hadi leo wanafanya katika mazingira magumu mno.

Hadi leo kinachoendelea kwa Mh. Mbowe ni mwendelezo wa siasa za chuki na kukomoana. Sina uhakika kama nchi yetu itarudi kwenye upendo na kuheshimiana uliokuwapo tangu enzi zile za mwalimu mpaka hadi 2015 upendo ulipokoma rasmi.
Kama yeye mbowe alivyolipiza kisasi kwa Sabaya kwa kumtumia mkwe wake Kweka
 
Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi na inafahamu pia kwamba hizi ni njama za kishamba za serikali ya Tanzania kuogopa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi
Erythrocyte , mwambie Lisu afanye kazi ya kuitangaza hii kesi kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi dunia nzima. Mfano, Hangaya akitoka Msisri, ujumbe wa CDM uende huko huko kumnanga kuwa huyu si mtu when it comes to democracy! and the like
 
Back
Top Bottom