Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Ndugu yangu hakuna cha kulipishwa Mabilion wala mamilion.Ukweli ni kuwa hamuangalii msingi mzima wa hii kesi,nyie mnademka tu na hizi mbwembwe za mawakili.Ndiyo maana nikawaambia kile kitu kizito cha PGO tulichopigwa nacho kichwani kinajirudia muda si mrefu,tutakutana hapa tena kutoa makasiriko yetu kwa Mh.Jaji.
Lakini mbona kwa muenendo wa kesi hii wanasheria upande wa utetezi wanatufunulia mambo mengi ambayo hayaitaji kufika chuo kikuu kuona kwamba haki isipotendeka kuna mkono wa mtu.
 
Mbona sijaona cha maana kutoka kwa Kibatala zaidi ya leo na yeye kuongeza mbwembwe za kugoogle latest version za Software[emoji3][emoji3]
Kama hujaona cha maana, pengine mategemeo yako ni tofauti, we ulitegemea kuona nini?

Ulitegemea kuona shahidi akijichanganga katika maelezo yake?
 
Hawa Tigo si nilisikia walilipa ela nyingi kwa At na Fa, kwa kutumia nyimbo zao , ndo madhara ya kuajiri vilaza haya

Tigo hawajawahi kulipa “ela nyingi” lakini kama unamaanisha hela nyingi kwa taarifa yako Tigo ilishinda ile kesi mbele ya Mh.Jaji De Melo,au hizo taarifa zenyewe hukuzisikia?
 
Jamaa ananishangaza sana kwa anayoyaandika. Eti mbwembwe za mawakili wakati wanapigania HAKI ya Baba watoto, Mume na Kiongozi wa Chama kikubwa nchini ambaye anaweza kufungwa miaka 30 au hata maisha!!! Ama kweli siku zote mkuki ni kwa nguruwe. Angekuwa Mbowe anamhusu au yeye ndiye aliyebambikiwa hii kesi FEKI asingeandika aliyoyaandika.

Lakini mbona kwa muenendo wa kesi hii wanasheria upande wa utetezi wanatufunulia mambo mengi ambayo hayaitaji kufika chuo kikuu kuona kwamba haki isipotendeka kuna mkono wa mtu.
 
Kujua latest version inasaidia nini kwa hii kesi?
afu nyamizi na wewe unaniangusha, hapo kwenye version unaongelea data security against hackers, upo ? je info za mteja haziwezi kuwa hacked ? security system ya Tigo ina ubora upi? ina viwango vinavyotakiwa ? je kuna uwezekano huyu jamaa aliingia tu anachota data akawapa police bila kufuata utaratibu wa Tigo ama alifanikisha kwa sababu system data server ni weak ?
 
Jamaa ananishangaza sana kwa anayoyaandika. Eti mbwembwe za mawakili wakati wanapigania HAKI ya Baba watoto, Mume na Kiongozi wa Chama kikubwa nchini ambaye anaweza kufungwa miaka 30 au hata maisha!!! Ama kweli siku zote mkuki ni kwa nguruwe. Angekuwa Mbowe anamhusu au yeye ndiye aliyebambikiwa hii kesi FEKI asingeandika aliyoyaandika.
Kweli akili ni nywele.
 
Kama hujaona cha maana, pengine mategemeo yako ni tofauti, we ulitegemea kuona nini?

Ulitegemea kuona shahidi akijichanganga katika maelezo yake?
Mimi nasubiri tu mwisho wa kesi utakuwaje maana hadi muda huu sijui kipi ni kipi katika kula njama kutenda vitendo vya kigaidi. Labda kama kuna mtu anaona anaweza kunielimisha.
 
Amenifurahisha Sana shahidi wa leo mitego yote ya wakili msomi kameibugia Kama uji wa asubuhi.

Wakili msomi: Unamufahamu Mbowe?
Shahidi msomi: Simufahamu.

Mbowe hajulikani mngesema Slaa,bwana makelele,Lowassa hapo sawa.

Huyu ni mwanasheria watu ambao wanatakiwa kuwa well informed with all curent affairs halafu unasema humjui Mbowe? hii ni akili ya wapi? anataka kumdanganya nani?
 
Jamaa ananishangaza sana kwa anayoyaandika. Eti mbwembwe za mawakili wakati wanapigania HAKI ya Baba watoto, Mume na Kiongozi wa Chama kikubwa nchini ambaye anaweza kufungwa miaka 30 au hata maisha!!! Ama kweli siku zote mkuki ni kwa nguruwe. Angekuwa Mbowe anamhusu au yeye ndiye aliyebambikiwa hii kesi FEKI asingeandika aliyoyaandika.
Hivi mkuu, ni sifa gani kuu inayomfanya mjumbe humu kuwa Platinum Member! Naona wengine wana uelewa na mihemko kama ya akina Bia yetu!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
Unalia nini? Mbona shahidi anasema hajui kosa Sasa taarifa kama ni za miamala ya tigo pesa wakili atahoji nini? Zaidi ya kosa la utaratibu wa utoaji taarifa ambao utaonyesha ushahidi haujitoshelezi kuthibitisha kosa
 
Kama hujaona cha maana, pengine mategemeo yako ni tofauti, we ulitegemea kuona nini?

Ulitegemea kuona shahidi akijichanganga katika maelezo yake?

Anyway ahsante sana kwa mjadala wenye staha,ukimaliza hapa twende kwa Jukwaa letu la Sports tukajadili mapito ya Team yetu pendwa ya Simba Mkuu [emoji3][emoji3]
 
yeye shahdi kwa nini alitaja wakati anaongozwa na wakili wa serikali ? tulikuwa na umuhimu gani pia kutuambia yeye ni mwanasheria na pia kasomea mambo ya IT Security na SQL database Server india ?

India ina uhusiano gani na kesi hii ?
Mjinga huyo anajitoa akili
 
Na hiyo ndiyo iwe kampeni ya leo
Kampuni ya Punch company limited

Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-

...... Mchawi sana/Freemason hatakiwi mtaani (bado anaendelea kuishi)

.... Kaniuzia Vitunguu/Nyanya zilizooza (akisikika akisema na yeye atakuwa hivyo hivyo)

.... Tunasoma hatuna kazi kwa muda mrefu

.... KUJUDGE MUVIE ZA MAUAJI (watu wanaojichulia kifo/kuwa wauwaji kwenye jamii)

na Mengineyo (ILA USISAHAU LAANA ZINATESA NA KUUWA JAPO NI JAMBO ZURI LA KUPAMBANIA)

Aidha, ni mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSI (WANACHAFUA MIJI NA KUTUUZIA VITU VILIVYOOZA NA WANA MAPENZI YA KUFA NA KUOZA - WATOTO WAZURI HAWATAKIWI KUFIKIRI HATA SALAMU)

waweza tuma email yako kwenye email ifuatayo: laanazatanzaniatayari@gmail.com
 
Tigo hawajawahi kulipa “ela nyingi” lakini kama unamaanisha hela nyingi kwa taarifa yako Tigo ilishinda ile kesi mbele ya Mh.Jaji De Melo,au hizo taarifa zenyewe hukuzisikia?

na pesa ilikua imeshalipwa mzee fuatilia vizuri
 
Mimi nasubiri tu mwisho wa kesi utakuwaje maana hadi muda huu sijui kipi ni kipi katika kula njama kutenda vitendo vya kigaidi. Labda kama kuna mtu anaona anaweza kunielimisha.
Mimi mwenyewe sijui outcome, kwasababu kuna mengi ambayo hatuyajui yanayoweza kujitokeza, hususani ukiangalia hata mazingira ya hii kesi yalivyo anza anza

Ila tunafanya mlinganyo kwa kusikiliza maelezo ya hawa mashahidi tuone kama kweli yako proper bado naona errors nyingi ambazo kwa circumstances ya hii kesi sioni kama kuna shahidi wa kweli hata mmoja
 
Kampuni ya Punch company limited

Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-

...... Mchawi sana/Freemason hatakiwi mtaani (bado anaendelea kuishi)

.... Kaniuzia Vitunguu/Nyanya zilizooza (akisikika akisema na yeye atakuwa hivyo hivyo)

.... Tunasoma hatuna kazi kwa muda mrefu

.... KUJUDGE MUVIE ZA MAUAJI (watu wanaojichulia kifo/kuwa wauwaji kwenye jamii)

na Mengineyo (ILA USISAHAU LAANA ZINATESA NA KUUWA JAPO NI JAMBO ZURI LA KUPAMBANIA)

Aidha, ni mapenzi ya BINTI KIZIWI HAYA SIJUI KAMA MIIMILI HAIJAONGEA KWA AJILI YA SPECIFICATION ZA MIILI YA WATU LAANA NUKSI (WANACHAFUA MIJI NA KUTUUZIA VITU VILIVYOOZA NA WANA MAPENZI YA KUFA NA KUOZA - WATOTO WAZURI HAWATAKIWI KUFIKIRI HATA SALAMU)

waweza tuma email yako kwenye email ifuatayo: laanazatanzaniatayari@gmail.com

acha Bangi
 
Wakuu, tukutane asubuhi kesho saa tatu Shahidi wa 6 uwanjani, sijui tutarudi Rau madukani tena 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom