Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Tigo ni wezi, sana niliiacha kutumia tigo mwaka 2011 baada ya kuibiwa vocha, miaka kumi saiz sijawahi tumia tigo, kila nikinunua naishia kuitupa bila kuitumia
Yani mimi juzi nimesajili line ile naweka vocha si wakanikata 200 eti ya muito kwenye nyimbo ya nandy, nandy mwenyewe simfahamu lakini tigo wamenibashiria interest yangu wakanipa nandy

Nafikiria hapa sijui nimwambie kibatala ashikilie bomba mambo yawe msololo tu, huyo wakili wa tigo angekua mtaani chupa za mikojo zingerushwa
 
Amenifurahisha Sana shahidi wa leo mitego yote ya wakili msomi kameibugia Kama uji wa asubuhi.

Wakili msomi: Unamufahamu Mbowe?
Shahidi msomi: Simufahamu.

Mbowe hajulikani mngesema Slaa,bwana makelele,Lowassa hapo sawa.
Huyo jamaa hata Jaji anamchora tu, huwezi kuwa mwanasheria na unafanya kazi tigo usimfahamu Mbowe...

Data za mteja za Nida huwa zinakuja na picha, kwa maana hakuona picha?

Wakili msomi angemuuliza tu humu mahakamani Mbowe yuko wapi?

Shahidi: Mbowe simjui.
Wakili: Kwa hio niseme umekuja kwenye kesi hufahamu inamuhusu Nani?
Shahidi: 😥😥😥😥
Jaji: Mpeni kitambaa ajifute machozi.

Huyu jamaa akina kibatala watafanya afukuzwe kazi wallah🤣🤣🤣🤣
 
Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...

Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??

Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁

Kupitia taarifa zako za kimtandao, unaweza ukajulikana mambo yako kibao, hadi pattern za namna unavyoroam mjini (kupitia locations za minara ya simu)

Unakuja tekwa au vamiwa na jamaa wanaojua mienendo yako yote na unashangaa wamejuaje hadi miamala hako...
Hio ndo ilikuwa michezo ya Makonda na Sabaya!!!
 
Kibatala alichomfanyia huyu wakili wa tigo, kampuni ya tigo haitakuja kukubali tena kupeleka mawakili wao kwenye kesi ambazo kibatala yupo

Kwasababu hawakutegemea kua upepo utabadilika na wao ndio watakua wako kwenye hatari ya kuchafuliwa, walijua position ambayo wao wapo ni salama.

Jamaa kaenda moja kwa moja kwenye kampuni na kulioneshea udhaifu wao, kwamba kuna wateja ambao wanaibiwa pesa zao zikiwa bado kwenye account za tigo pesa

Hiyo ni hatua mbaya sana kama kampun inajikuta inajichafua kwenye ishu ambayo haina maslahi nayo.

Hoja inayotengenezwa hapo ni kwamba kivyovyote vile itavyokua ni lazima itaonesha udhaifu wa kampuni katika kulinda mali za wateja wao, hata kama wanaofanya hivyo ni waajiriwa wa mtandao

Kwa hiyo hapo itaonesha hata hayo madai ambayo yameletwa na wakili ni batili kwasababu kunauwezekano mkubwa yakawa forged na watu ambao wanalengo la kumtia hatiani mbowe

Mkuu hili ndilo kosa kubwa sana mnalifanya,mwisho wa siku yale yale ya kushangilia PGO ndiyo yatakuja kujirudia hapa.Mnachokiona nyinyi si kile anachokiona Jaji,na siyo tu Tigo,hata Vodacom,Airtel,Hallotel wakati wowote wakitakiwa kutoa ushirikiano kwa Serikali watafanya bila kusita.Huo ndiyo ukweli wenyewe japo ni mchungu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Jamaa yuko vizuri sana na ni sababu anaongea kile kitu anakifahamu na alikifanyia kazi,ndiyo maana si Mtobesya wala Mallya wamefurukuta kwa mbwembwe za Cross examination.Nasubiri zamu ya Kibatala
Fatilia mahojiano yake na kibatala ndo utajua kua jamaa ako hajui kitu ni amekalili
 
Tigo ni wezi, sana niliiacha kutumia tigo mwaka 2011 baada ya kuibiwa vocha, miaka kumi saiz sijawahi tumia tigo, kila nikinunua naishia kuitupa bila kuitumia

Acha uwongo basi,sisi watu wazima ujue? Yani ununue utupe,halafu ununue tena[emoji3][emoji3]
 
naiona kesi nyingine hapa ya haki ya privacy ya mtumiaji wa mtandao - TIGO jiandaeni kujibu mashitaka, mmetoa info za mtumiaji wenu bila kufuata sheria inavyotaka.
inawezekana hata hawajatoa sema wame cook, we uliona wapi unarequest data za 01/07/2021 hadi 30/09/2021 then printer ina kuletea report ya tofauti kwa maana ya requested duration?

Jamaa huyu Fredy ni pandikizi pale sema tiGO wamechelewa kung'amua hilo na ndo litawa cost!!!
 
Huyo jamaa hata Jaji anamchora tu, huwezi kuwa mwanasheria na unafanya kazi tigo usimfahamu Mbowe...

Data za mteja za Nida huwa zinakuja na picha, kwa maana hakuona picha?

Wakili msomi angemuuliza tu humu mahakamani Mbowe yuko wapi?

Shahidi: Mbowe simjui.
Wakili: Kwa hio niseme umekuja kwenye kesi hufahamu inamuhusu Nani?
Shahidi: [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Jaji: Mpeni kitambaa ajifute machozi.

Huyu jamaa akina kibatala watafanya afukuzwe kazi wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani matakwa yako ndiyo unatamani yawe uhalisia,bahati mbaya sana mambo hayaendi hivyo ndugu yangu.
 
Kwa mtu smart hatakiwi kutumia tigo mpaka sasa.
Kinachonifanya niendelee kutumia tigo hata wakivujisha taarifa zangu sina cha maana labda mikeka tu.
 
Mkuu hili ndilo kosa kubwa sana mnalifanya,mwisho wa siku yale yale ya kushangilia PGO ndiyo yatakuja kujirudia hapa.Mnachokiona nyinyi si kile anachokiona Jaji,na siyo tu Tigo,hata Vodacom,Airtel,Hallotel wakati wowote wakitakiwa kutoa ushirikiano kwa Serikali watafanya bila kusita.Huo ndiyo ukweli wenyewe japo ni mchungu.
Kwa nini utoe taarifa pasipo kufahamu kuna kosa gani?

Hio barua ameaema ni standard form, sehemu ya kosa haijajazwa, amekiuka taratibu...

Ametoa taarifa za mteja kiholela mnoo!!

Endelea kusema usivyovijua uje usikie tigo wanalipishwa billions of money ndipo utakaa kimya...

Kwanza hajulikani kama ni IT au mwanasheria...
 
Fatilia mahojiano yake na kibatala ndo utajua kua jamaa ako hajui kitu ni amekalili

Nafuatilia vizuri sana na wala sijaona cha ajabu kutoka kwa Matata wala Kibatala zaidi ya “mbwembwe” za Mawakili
 
Back
Top Bottom