Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Yani mimi juzi nimesajili line ile naweka vocha si wakanikata 200 eti ya muito kwenye nyimbo ya nandy, nandy mwenyewe simfahamu lakini tigo wamenibashiria interest yangu wakanipa nandyTigo ni wezi, sana niliiacha kutumia tigo mwaka 2011 baada ya kuibiwa vocha, miaka kumi saiz sijawahi tumia tigo, kila nikinunua naishia kuitupa bila kuitumia
Nafikiria hapa sijui nimwambie kibatala ashikilie bomba mambo yawe msololo tu, huyo wakili wa tigo angekua mtaani chupa za mikojo zingerushwa